Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jackson ni mjanja sana akicheza no. 10
Anajua kuhold mpira na kujenga build up
Chelsea kaonyesha huo uwezo na leo Senegal dhidi ya Cameron kaonyesha hivyo kwenye goli la tatu la Senegal lililofungwa na Sadio Mane katika dakika za majeruhi


lililofungwa na Sadio MAne dakika za majeruhi
 
Ian Maatsen anakiwasha kule Dortmund, alichonyimwa huku na Pochettino kule amepewa na anakitendea haki
Sababu mojawapo ya kumuona Pochettino sio kocha wa viwango vya juu kama wengi wanavyotaka kutumaanisha ni matumizi mabaya ya Iana Maatsen, Colwill, Chilwell, Enzo nk

Ian Stats vs Koln
1 assist
78/84 accurate passes (93%)
1 chance created
115 touches
4 passes into final third
4/5 accurate long balls
1/1 tackles won
3 clearances
1 interception
4 recoveries
1/1 aerial duels won
3 fouls won

A brilliant assist as the Dutchman continues to settle in very well on loan!

 
Screenshot_20240120-181740~2.png
msiba wa jana
 
Chelsea injury updates:
  1. Trevoh Chalobah – in group training for reconditioning phase.
  2. Marc Cucurella – continuing to undergo his rehabilitation programme.
  3. Wesley Fofana – continuing to undergo his rehabilitation programme.
  4. Reece James – continuing to undergo his rehabilitation programme.
  5. Romeo Lavia – continuing to undergo his rehabilitation programme.
  6. Christopher Nkunku – continuing to undergo his rehabilitation programme.
  7. Robert Sanchez – continuing to undergo his rehabilitation programme.
  8. Lesley Ugochukwu – continuing to undergo his rehabilitation programme.
 
Ile mechi ya Middlesbrough tulifungwa kwa sababu ya Pochettino kuwa na maneno mengi isiyojenga wachezaji kiakili
 
Landon Emenalo (kulia) kijana wa Emenalo aliyewahi kuwa mkurugenzi wa ufundi wa Chelsea huyo ana miaka 16 kafanya mazoezi na timu ya kwanza wiki iliyopita
Leo yupo kwenye kikosi cha u21 inayocheza na Colchester. Mabao 3-0 dk ya 21
1705951101895.png
 
Benzema has been offered to Chelsea and would take him on a short-term deal until the end of the season. They may be encouraged by his new training situation.Head coach Marcelo Gallardo has told him to train away from the main group.

-----------Benzema----------

Casadei -----Nkunku ----- Palmer

------Enzo ----------Caicedo----

Chilwell ----Colwill ----Silva----Alfie

-------------Petrovic-------------

Sub
  1. Sanchez
  2. Disasi
  3. Badiashile
  4. Lavia
  5. Mudryk
  6. Sterling
  7. Gallagher
  8. Chukwuemeka
  9. Jackson

1706026276518.png
 
Huku game ya Chelsea inakaribia kuanza huku game ya Angola na Burkinafaso inakaribia kuanza. Hata sielewi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom