Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe Chief kitu gani unaita mbinu
Chilwell kucheza winga wakati tuna mawinga wazuri?
Colwill kucheza LB wakati Chilwell yupo?
Na wote hawafanyi vizuri kwenye hizo nafasi, bora hata kwa hiyo tacti ingeleta matunda sawa ila Colwill amekuwa mzigo pale kwenye LB na Chilwell tangu acheze winga hakuna alichokifanya
Ukweli ndio huo na ujinga mojawapo wa Pochettino ni hiyo
Tactic isipofanya kazi badili gia angani yeye kakariri tu
Colwill akicheza CB anacheza vizuri
Chilwell akicheza LB anacheza vizuri
Mechi nyingi tunapoteza kwa sababu ya hii foolish tactics

Watu hawataki kuelewa
 
Huyu dogo hata mimi ni.emuona ana potential kubwa sana ukizingatia na umri wake. The only thing kitakachomuangusha ni experience hasa siku atakapo chomesha game hata moja tu. Refer case ya Christensen alianza vizuri sana alipoxhomesha game ya Barca ndio ikamuathiri kisaikolojia

Sanchez anaexperience ila bado anamakosa tele na sijui why poch anampenda.

Petrovic nimzuri sana kuliko Sanchez

Sanchez hata ball playing yake akiwa na mpira tu unawasiwasi huenda akachoma
 
MOTM nadhani ni Colwill sio Enzo, sijapata taarifa rasmi anayejua anisahihishe
1705165125659.png
 
Leo Gallagher kawauzi wengi hadi kocha wake mpendwa
Kapewa pasi nzuri alikuwa atengeneza build up nzuri halafu akapiga kama chenga mbili au tatu kumtafuta Disasi nyuma mashabiki wakamgunia kwa hasira. Naanza kuungana na wanaomponda Gallagher, wakati anatakiwa kufanya vitu kama za Palmer ndio anharibu gamu kabisa, infacvt hata Madueke anamucha mbali sana kwenye attacking
View attachment 2870752

Ndio maana tunasema Galagher hiz pass accuracy zake zote ni safe pass za kurudi kwa mabeki mnabaki kaimprove kaimprove

Hii sio mara ya kwanza muwe mnaangalia mechi mechi nyingi tu anafanya hivi
 
Wanaojua zaidi yetu wameuchambua uwezo wake kwenye midfield yetu na impact yake kwenye game ndio maana amepewa.
Huyu mwamba kabonda sana kapiga pass(mikanda )ya kutosha ni kwasababu tu ya immaturity wachezaji wetu wachezaji kama hawa hawapati maua yao.Maana ili uone kafanya la maana mchezaji wa mbele yake apokee mali vizuri
 
Disasi watu wanamchukia tu bure ila yeye naye ni muadhirika wa mfumo mbaya unaotumiwa na kocha na hasa kwenye Kiungo na fullbacks. Maeneo hayo yamekuwa imbalance tangu baada ya pre season na mabeki wamezidiwa wote hata Silva na Badiashile siku akicheza

Pamoja na hayo bado namuona Disasi akiwana mafanikio Chelsea, pasi zake ananikumbusha David Luiz na ndie anayeongoza hapo Chelsea kwa kupiga pasi na kwenye ligi ni wa nne nyuma ya Rodri mwenye pasi 1665, Lewis Dunk mwenye pasi 1657 na Saliba mwenye pasi 1584. Yeye ana pasi 1474.
1705166301070.png
 
Huyu mwamba kabonda sana kapiga pass(mikanda )ya kutosha ni kwasababu tu ya immaturity wachezaji wetu wachezaji kama hawa hawapati maua yao.Maana ili uone kafanya la maana mchezaji wa mbele yake apokee mali vizuri

Enzo ukimuweka mahala pake unapata kuona ubora wake.
 
Maneno ya kocha na mchambuzi George Ambangile. Tukubali tunatofautiana jicho la kimpira. Ni mara xhache sana Colwill anakua ana under perform kwenye nafasi ya left back lakini namna watu wanavyozungumza humu aseeh
 

Attachments

  • Screenshot_20240113_193646_Instagram.jpg
    Screenshot_20240113_193646_Instagram.jpg
    152.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240113_193704_Instagram.jpg
    Screenshot_20240113_193704_Instagram.jpg
    118 KB · Views: 10
Maneno ya kocha na mchambuzi George Ambangile. Tukubali tunatofautiana jicho la kimpira. Ni mara xhache sana Colwill anakua ana under perform kwenye nafasi ya left back lakini namna watu wanavyozungumza humu aseeh

Point yangu ya kwa Enzo umeiona hapo?????
 
Sanchez anaexperience ila bado anamakosa tele na sijui why poch anampenda.

Petrovic nimzuri sana kuliko Sanchez

Sanchez hata ball playing yake akiwa na mpira tu unawasiwasi huenda akachoma
Yaani Sanchez akiwa anacheza ,ananikumbusha jinsi Mendy alivyokuwa mzee wa kutoa boko , yeye na Kepa wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom