Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sina tatizo na Poch kuna kitu anacho ila hili swala la kubeba kila mchezaji linanipa mashaka coz hatujui kama wanaweza kufit ktk mfumo wake
Tajiri miluzi akisikia mchezaji fulani anatafutwa yeye anapandia dau.
 
Caicedo is the new Makelele
Enzo Paracetamol is the new Fabregas
Nicholas Jackson Mandago is the new Drogba
Axel Disaster is the new Terry
Malo Gusto is the new Bosingwa.

Ni mautamu wamerambwa
1692606242423.jpg
 
Bila kwenda kumpigia magoti Thomas Tuchel hii laana haitaisha kenge nyie, tena mkitoka kwa Tuchel mpitie na Trafford kuomba radhi kwa utapeli mliotufanyia kwa yule Freemason halafu mrejeshe na £60m yetu wajaa laana nyie.
Kweli kila mtu anaumia na lake
 

Attachments

  • 196203FE-912A-4F04-9D4C-F697344C51CC.jpeg
    196203FE-912A-4F04-9D4C-F697344C51CC.jpeg
    25.5 KB · Views: 4
Naaam Huyu ndio Agent Caicedo alisajiriwa na Liverpool alafu Liverpool wakampa mission maalumu hapo Chelsea kama jasusi lao la ndani

Mpaka sasa timu mbili tayari zina majasusi

MANCHESTER UNITED-Ten hag

CHELSEA-Caisedo

Mitano kwa mwamba


Huyu anaenda kuporomosha timu darajani
 
Yule Di zerbi ni jini, si unaona amebakiwa na takataka lakini bado anayaburuta yalete matokeo. Hii timu angepewa Di zerbi ingekuwa balaa
Yan hii team ya Chelsea umpe De Zerbi? Itakua mbovu mpaka utamkataa mwenyewe. Yule kashazoeana na wachezaji wake, anafanya maingizo yake kidogo kidogo, wachezaji hawana pressure. Kwake inakua rahisi kuingia mifumo yake kulingana na timu yake.

Sasa hivi Poch nahisi bado ana struggle kwenye dressing room, kutuliza psychology za mchezaji mmoja mmoja then kupitia hiyo ajenge chemistry ya timu nzima. Wakati huohuo bado timu inakumbwa na majeraha. Inakua changamoto sana kufanikiwa kwa haraka. Nadhani tukubali tu suprises kama ya jana tujiandae nazo pengine mpaka msimu ujao
 
Mpira siku hizi ni intelligence tu
Liverpool wamewapenyezea jasusi

CHELSEA wamepenyeza majasusi yao Manchester United na Arsenal na Manchester city

Jasusi wa CHELSEA aliyepenyezwa Manchester city kawasaliti anapiga kazi haswa

Mount pleasant yeye yupo anaimaliza Manchester United kimyakimya
 
BREAKING: Chino Kidd to Chelsea, here we go! Agreement reached and sealed right now — it’s gonna be British record transfer fee 🚨🔵🇹🇿 #CFC

£150m fee plus sell-on clause included for Bad Nation F.C.

Medical tests, booked.

Chino Kidd will sign until June 2031 with option until 2032.
20230821_125531.jpg
 
Hapana bhana mapema Sana kusema hivo, msipende Sana kuangalia matokeo angalien progress ya timu , mpeni Poch angalau mechi 5 kwanza atakuwa na first eleven yake ,

Chelsea msimu huu sidhan Kama malengo ni ubingwa ,malengo itakuwa kurudi kwanza UCL , Sasa presha yote ya Nini
Mechi tano chache sana. Pochi apewe msimu mzima ajenge timu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom