Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hapa mtu anapoteza kazi
1692619097954.jpg
 
Neymar JR Really Enjoying $uadi Arabia money [emoji383][emoji383][emoji383][emoji102]


Mngemchukua na huyu chelsea.[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1692629070101.jpg
 
Chukwuemeka alikuwa anasaidia kuifungua defense ya Westham, ila alipoumia tu, mabeki wakaamua kupasiana mpira wenyewe kwa wenyewe kikonokono halafu eti tunaambiwa Possesion ni 75%
Mpira wa leo baada ya HT ulikuwa mbovu na bado kuna wanachelsea wanausifia sana
Reason ya slow build up sHida ipo kw Ghallagar, akipata mipira yote anairudisha kwa beki. Huyu mchezaji angeuzwa tu Man yu akacheze na wabovu wenzie. Mchezaji gani dk.90 hajapga penetration pass hata moja.
 
[emoji599]Breaking!

Chinno wanaman to Chelsea, here we go! Verbal agreement reached on €60m release clause fee value, still Toddy is negotiating with marioo, jaivah and papiloo for a possible shocking transfer.
20230821_175424.jpg
 
[emoji599]Breaking!

Chinno wanaman to Chelsea, here we go! Verbal agreement reached on €60m release clause fee value, still Toddy is negotiating with marioo, jaivah and papiloo for a possible shocking transfer.View attachment 2724299
Hv bdo Chelsea mnafurahia usajili? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapana bhana mapema Sana kusema hivo, msipende Sana kuangalia matokeo angalien progress ya timu , mpeni Poch angalau mechi 5 kwanza atakuwa na first eleven yake ,

Chelsea msimu huu sidhan Kama malengo ni ubingwa ,malengo itakuwa kurudi kwanza UCL , Sasa presha yote ya Nini
Ukweli ni huu, hata kama Chelsea haitatupa matokeo tuliyotazamia ila Pochettino hatakuwa kama Potter wa "The lads gave it everything, ..."
 
Duuh hii sasa ni hatari, sioni Chelsea ikivuna zaidi ya point 6 hapo kama kocha hataacha tabia ya kuchezea mpira na kuamua kucheza mpira.
Atakayetupa shida hapo ni Mancity tu
Chelsea kwa timu zinazofunguka tunafunga vizuri sana
 
Kuna kitu sijakielewa kwa Poch, Kwenye Pre season alikuwa anatumia 4-2-3-1 mechi zote, ila cha ajabu kwenye league anatumia 343 nikitu cha hovyo..

Mpaka sasa progress inaonekana,
Liverpool alicheza 4-2-3-1
Colwill alicheza kama LB na Chilwell kama winga na ndio. Pochettino alisema hayo akihijiwa na SkySport na akasema alifanya hivyo ili Colwill amdhibiti TAA asiweze kufeed mipira kwa washambuliaji wa Liverpool

-------------Jackson--------------

Chilwell --Chukwuemeka -----Sterling

-----Enzo ------------Gallagher---

Colwill -----Silva -----Disasi ----James

----------------Sanchez ------------

Hii ya Westhamm ndio alijaribu 343 ikabuma, sidhani kama atajaribu tena
 
Liverpool alicheza 4-2-3-1
Colwill alicheza kama LB na Chilwell kama winga na ndio. Pochettino alisema hayo akihijiwa na SkySport na akasema alifanya hivyo ili Colwill amdhibiti TAA asiweze kufeed mipira kwa washambuliaji wa Liverpool

-------------Jackson--------------

Chilwell --Chukwuemeka -----Sterling

-----Enzo ------------Gallagher---

Colwill -----Silva -----Disasi ----James

----------------Sanchez ------------

Hii ya Westhamm ndio alijaribu 343 ikabuma, sidhani kama atajaribu tena
Pre season, Lw mara nyingi alikuwa anamtumia Maatsen na Chilwel alikuwa kama LB.

Natumai game ya Luton atarudi kama kwenye pre season
 
Majeruhi wa Chelsea wameshafika 8 bado 2 tu tuingie double digit hata bado ligi haijaenda mbali. Anguko la Chelsea kwa sehemu kubwa liko kwenye handling mbovu ya majeruhi inayofanywa na idara inayohusika na utabibu wa afya
  1. Wesley Fofana
  2. Christopher Nkunku
  3. Benoit Badiashile
  4. Reece James
  5. Armando Broja
  6. Trevoh Chalobah
  7. Carney Chukwuemeka
  8. Marcus Bettinelli
1692640564160.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom