Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

75'

Mauricio Pochettino ameamua kufanya
mabadiliko. Noni Madueke (Chelsea) anachukua nafasi ya Conor Gallagher.
 
Kumbukeni tumeondoa wachezaji wengi wakongwe na tumemsajili wachezaji wengi wapya + kocha mpya.

Itatuchukua labda mechi 5 mpaka 10 kocha na wachezaji, wachezaji kwa wachezaji kuelewana/muunganiko mzuri na kupata Matokeo chanya.

Kuweni wavumilivu, matumaini yapo.
Endelea kusubiri hizo mechi 5 na ligi nayo inakusubiri wenzio nahisi wamesimama😂😂😂😂
 
83'

Mauricio Pochettino ameamua kuchukua nafasi ya Malo Gusto na nafasi yake kuchukuliwa na Mason Burstow (Chelsea).
 
Kumbukeni tumeondoa wachezaji wengi wakongwe na tumemsajili wachezaji wengi wapya + kocha mpya.

Itatuchukua labda mechi 5 mpaka 10 kocha na wachezaji, wachezaji kwa wachezaji kuelewana/muunganiko mzuri na kupata Matokeo chanya.

Kuweni wavumilivu, matumaini yapo.
Shida ni kwamba tumesajili wachezaji vijana tupu
Timu inahitaji mchanganyiko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom