lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Here we go!
Ni kweli sasa Djordje Petrović atasaini mkataba Jumatano kama mchezaji mpya wa Chelsea - itakuwa ni mkataba wa miaka 7 hadi 2030 🔵
Nimeambiwa itajumuisha chaguo la mwaka mmoja zaidi hadi 2031.
Ada kamili ya $17.5m pamoja na nyongeza za $2.2m kwa timu ya New England Revolution
-Fabrizio Romano
View: https://youtu.be/csE-nux29w0