ninachojali mmepigwaImepenya hiyo hadi kwenye mfupa [emoji382][emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tatizo yeye mdogo bei KUBWA,anacheza Kwa presha KUBWA...kuhusu kipaji aisee CAISEDO NI MTU..MTU HASWAAA,KUSABABISHA PENAT SIYO TATIZO...NAKUBALIANA NAWE,ATAFUTIWE PSYCHOLOGIST HARAKAMtafutieni Psychologist haraka sana dogo wa watu muokoe kipaji chake, dogo anaenda kuwa flop huyo.
Yani alivyokuwa benchi, kidogo Chelsea walikuwa threat, ila alivyoingia yeye sasa[emoji1][emoji1] kabutua, katoa Boko, penati
Watu ni wanafiki nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kwani caicedo hakuwepo awapelekee moto westham?
Mkuu upo utani wa kutaniana ila hapa mbona unatumia silaha nzito mkuu. Tuwe wastaarabu tafadhali na sisi tuna nyongoUtamlaumu bure tu. Wenzake marinda hawana unadhani watauweza mziki wa wanaume kamili?
Mc allister ???huyuhuyu au yule babu aliyekuwa Coventry city akaja lfc?Na Mac-allister tusimsahau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kifalaUtamlaumu bure tu. Wenzake marinda hawana unadhani watauweza mziki wa wanaume kamili?
Kwanini caicedo hawakumuingiza awapelekee moto westham?Et ooh Mudryk kaongeza confidence atatisha sana, mara ooh mgoli wa Mudryk unaombea mkopo benki. We mchezaji wa 100 M anakaa benchi, hata kupiga shuti hajui, akipata 1v1 ujue faulo hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bila kwenda kumpigia magoti Thomas Tuchel hii laana haitaisha kenge nyie, tena mkitoka kwa Tuchel mpitie na Trafford kuomba radhi kwa utapeli mliotufanyia kwa yule Freemason halafu mrejeshe na £60m yetu wajaa laana nyie.Kwa hiyo Caicedo ni flop kisa ametoa penalt? Wabongo bhana kha! hahahaha .....
Na Enzo pia ni flop amekosa penalt.
Mkuuu Frank mbona kma umeshakata Tamara broTangu Enzo aje Chelsea ameshuhudia Chelsea ikishinda mechi 3 tuu za ligi
Walimuingiza akatoa maboko kishenzi na penati juu, yan Boehly huko alipo anawalaani sana BrightonKwanini caicedo hawakumuingiza awapelekee moto westham?
Livakuku A.K.A Makasiriko FC [emoji28]Wakati wenzenu wanasajili nyie mnapambana na Liverpool usajili [emoji3][emoji4],kuonesha mna kibunda cha kutosha
Hahaha [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bila kwenda kumpigia magoti Thomas Tuchel hii laana haitaisha kenge nyie, tena mkitoka kwa Tuchel mpitie na Trafford kuomba radhi kwa utapeli mliotufanyia kwa yule Freemason halafu mrejeshe na £60m yetu wajaa laana nyie.