lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,487
Kenge anamla kukuNyie Kenge, angalieni msimu huu msije shuka daraja...kwa hili litimu lenu...hakuna mechi mtashinda, labda mshinde njaa....
Kenge anamla kukuNyie Kenge, angalieni msimu huu msije shuka daraja...kwa hili litimu lenu...hakuna mechi mtashinda, labda mshinde njaa....
Tumepigwa mzee ndomaana hata makocha tuliokuwa nao hawampi nafasi hajiamini anacheza kwa presha sanaNo nakataa, hatujapigwa, tumepiga. mechi ziko nyingi
Issue anao uwezo wa kuhandle price yake kama Declan Rice au hata Enzo?Kafanya makosa saba na ya mwisho ikawa penalti na goli, kuanguka sio mwisho wa safari, makosa aliyofanya haimuondolei kuwa sio DM mzuri
Liverpool tulicheza vizuri, ila leo sijui wamewadharau Westham, too slow hadi inakinaishaTatizo la hii timu hata sio wachezaji. Tatizo ni culture ya uchezaji. Timu ni mwendo wa slow buildup na slow transformation kutoka nyuma kwenda mbele (huu ndio mtihani mkubwa kwa pochettino) mpira wa sasa bila identity hata tutengeneze timu ya all stars bado mambo yatakuwa hayahaya. All in all toka mwanzo nilisema tunapambania kuanzia nafasi ya sita kushuka chini na hili halitabadilika hata tukishinda game 5 mfululizo
Subirini awageuzie tenaBakiza basi akiba, kesho akiwageuzia utajificha wapi?
Pambaneni na Endo wenu kwanza




😄 Usikute karudi dressing room, anashika simu anakutana na sms ya benki, mshahara umeingia£148 Post-Match ReactionView attachment 2723373
Tumepigwa no, hapewi nafasi kubwa kwa sababu anatakiwa azoee ligi, sio kila mchezaji akienda ligi mpya lazima azoee haraka. Na pia kwa umri wake incosistency ni kawaida. Wengi hadi wafikishe miaka 23 ndio wanatulia. Talent za Mudryk ziko wazi zitadevelop naman gani, hii ni kazi ya kocha. Anahitaji apewe zaidi mechi ndogo nyingi kama za karabao na FA mwanzoni.Tumepigwa mzee ndomaana hata makocha tuliokuwa nao hawampi nafasi hajiamini anacheza kwa presha sana
Yule Di zerbi ni jini, si unaona amebakiwa na takataka lakini bado anayaburuta yalete matokeo. Hii timu angepewa Di zerbi ingekuwa balaaIssue anao uwezo wa kuhandle price yake kama Declan Rice au hata Enzo?
Kingine mna uhakika atakavyotumika Chelsea ataleta impact aliyoitoa akiwa Brighton?
Well said, build up ya konokono.Tatizo la hii timu hata sio wachezaji. Tatizo ni culture ya uchezaji. Timu ni mwendo wa slow buildup na slow transformation kutoka nyuma kwenda mbele (huu ndio mtihani mkubwa kwa pochettino) mpira wa sasa bila identity hata tutengeneze timu ya all stars bado mambo yatakuwa hayahaya. All in all toka mwanzo nilisema tunapambania kuanzia nafasi ya sita kushuka chini na hili halitabadilika hata tukishinda game 5 mfululizo
Chukwuemeka alikuwa anasaidia kuifungua defense ya Westham, ila alipoumia tu, mabeki wakaamua kupasiana mpira wenyewe kwa wenyewe kikonokono halafu eti tunaambiwa Possesion ni 75%Well said, build ya konokono.
Hiyo ni ya madirisha matatu tangu akina Boehly wachukue timuTimu imetumia karibia £1bn in 1 Year, Lakini bado ukiitazama hii timu kwa jicho la tatu ni kama inahitaji £500ml Extra kwa ajili ya Investment nyingine.
Ulipaji umefanywa kwenye installment ya miaka mingi sio cahs ya mara moja. vinginevyo FFP ya EPL na na UEFA wangeshabisha hodiTimu imetumia karibia £1bn in 1 Year, Lakini bado ukiitazama hii timu kwa jicho la tatu ni kama inahitaji £500ml Extra kwa ajili ya Investment nyingine.
Nilishawahi kusema humu Brighton ina wachezaji wa kawaida ila inabebwa na mfumo wa kocha sasa huyu Caicedo tuliomchukua tuone uwezo wake pale chelsea isije ikawa tumepigwa tena kama CucurelaYule Di zerbi ni jini, si unaona amebakiwa na takataka lakini bado anayaburuta yalete matokeo. Hii timu angepewa Di zerbi ingekuwa balaa
Brighton wanatuchezea washenzi hao kila siku wanatuuzia garashaNilishawahi kusema humu Brighton ina wachezaji wa kawaida ila inabebwa na mfumo wa kocha sasa huyu Caicedo tuliomchukua tuone uwezo wake pale chelsea isije ikawa tumepigwa tena kama Cucurela
Ila pia mfumo leo alioutumia Pochettino hauendani na wachezaji tulionaoNilishawahi kusema humu Brighton ina wachezaji wa kawaida ila inabebwa na mfumo wa kocha sasa huyu Caicedo tuliomchukua tuone uwezo wake pale chelsea isije ikawa tumepigwa tena kama Cucurela