Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nilishawahi kusema humu Brighton ina wachezaji wa kawaida ila inabebwa na mfumo wa kocha sasa huyu Caicedo tuliomchukua tuone uwezo wake pale chelsea isije ikawa tumepigwa tena kama Cucurela
Hapana bhana mapema Sana kusema hivo, msipende Sana kuangalia matokeo angalien progress ya timu , mpeni Poch angalau mechi 5 kwanza atakuwa na first eleven yake ,

Chelsea msimu huu sidhan Kama malengo ni ubingwa ,malengo itakuwa kurudi kwanza UCL , Sasa presha yote ya Nini
 
Warudie wapi UEFA?
Thubutuu
 
Ila pia mfumo leo alioutumia Pochettino hauendani na wachezaji tulionao
Angesimama kwenye 4-2-3-1 badal ya kutumia 3-4-3
Kuna kitu sijakielewa kwa Poch, Kwenye Pre season alikuwa anatumia 4-2-3-1 mechi zote, ila cha ajabu kwenye league anatumia 343 nikitu cha hovyo..

Mpaka sasa progress inaonekana,
 
Nilishawahi kusema humu Brighton ina wachezaji wa kawaida ila inabebwa na mfumo wa kocha sasa huyu Caicedo tuliomchukua tuone uwezo wake pale chelsea isije ikawa tumepigwa tena kama Cucurela
 
Unajua baada ya Caicedo na Lavia kufanikiwa kujiunga na Chelsea walifanya sherehe kubwa na ndugu na marafiki walioko London. Ndio maana Kocha alikuwa akiwajaribu kuwalinda kuwa walikuwa na hectic week. Sasa ile hangover ya sherehe bado haijaisha. Kocha alitakiwa asingemuweka hata benchi
 
Brilliant signing
FB_IMG_1692596114298.jpg
 
Hapana bhana mapema Sana kusema hivo, msipende Sana kuangalia matokeo angalien progress ya timu , mpeni Poch angalau mechi 5 kwanza atakuwa na first eleven yake ,

Chelsea msimu huu sidhan Kama malengo ni ubingwa ,malengo itakuwa kurudi kwanza UCL , Sasa presha yote ya Nini
Sina tatizo na Poch kuna kitu anacho ila hili swala la kubeba kila mchezaji linanipa mashaka coz hatujui kama wanaweza kufit ktk mfumo wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom