Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Bring back lukakuuuu
Mbinu za tuchel zimepitwa na wakati,Kule Munich Tuchel hafanyi vizuri
Tuchel anaweza asiendelee msimu ujao kuifundisha Bayern Munich kwa sababu kwa sasa tension ni kubwa dressing room kuliko wakati wa Julian
- Bayern imetolewa UEFA
- Leo kakung'utwa 3-1 na Mainz
- Kwenye Table wamerudi namba 2 kama alivyoacha Julian
- Wachezaji wanacheza individually tofauti na wakati wa Julian
- Bodi sasa wanatafutana mchawi

Chelsea wangempata Enrique time ingekua POA sana, soka la kikatalunya lingeleta ushindana pale EPL Kama guardiola na arteta wanavofanya vzur Apo eplMat Law ndie anayefuatilia kwa karibu sakata la kocha mpya Chelsea
Anasema Julian hakuwahi kuwa favourite kwa hiyo kazi ya ukocha pamoja na vyombo vingi kumtaja kuwa ndie yeye anapewa chapuo
Anasema Mauricio Potechino ndie mambo yanamuelekea na anaweza kuwa kocha mpya wa chelsea
View attachment 2596681
View attachment 2596684
Shida Chelsea ya boehly inaharibu vipaji vya wachezaji Kama mlivomharibu mudryck, sahv anaonekana garasaAlikuwa anawindwa na AC Millan, Man City, Liverpool na PSG
View attachment 2596886

Wauze wote tu,tushachoka kuchaniwa mikeka na timu lenu Hilo halielewekiChelsea wana mpango wa kuwauza wachezaji hawa bei nzuri ikipatikana
Wanaamini pia Cucurella atakuja kuwa mchezaji mzuri ila maoni ya kocha mpya itabadili upepo
- Kepa,
- Mendy,
- Azpilicueta,
- Koulibally
- Maatsen,
- Kovacic,
- Ampadu,
- Gallagher,
- Cheek,
- Mount,
- Havertz,
- CHO,
- Sterling,
- Pulisic,
- Ziyech,
- Broja na
- Aubameyang

Chelsea ya sahv ni kichapo kila mechiBoehly ana mkosi, aache kwenda kutazama mpira timu inapocheza, Jana walienda kuitazama Chelsea wakicheza na Barcelona nyumbani darajani na Chelsea ikafungwa 1-0. Sasa Chelsea wanayo kazi ya kuifunga Barcelona Nyumbani kwao Cam nou

Timu imepoteana,Uzi umepoa kama ugali wa muhogo

Brentford leo tuna jambo letu
Cheltako mkipata hata droo nipigwe Ban LA mwaka
CHeltako Forever
Lampanyoko Forever![]()



uliwasagia kunguni kima weweKwaiyo sahivi Chelsea ili ishinde Ni lazima itiwe MoyoMfungaji wa magoli mengi wa siku zote pale darajani (All time top goal scorers) Frank Lampard akipeana 1, 2, 3 na mfungaji wa pili wa magoli kwa siku zote pale darajani Boby Tambling alipotembelea uwanja wa mazoezi kuwatia moyop vijana.
![]()

Timu imepoteana kbsTumefunga mwezi wa nne vizuri
Win = 0
Goal scored = 1
Goal conceeded = 11
Naanza kumuelewa Drogba anaposema
"Hii timu yangu ya Chelsea siielewi tena"

Hizi Fixture msiposhuka daraja SijuiTHE BLUES FIXTURES
Arsenal vs Chel - TUNAFUNGWA
Bournemouth vs Chel - SARE/KUFUNGWA
Chel vs N. Forest - SARE/KUFUNGWA
City vs Chel - TUNAULIWA
Man utd vs Chel - PIPA NA MFUNIKO/SARE
Chel vs Newcastle - TUNAFUNGWA

Mapema sana kumuhukumu TT ambaye bado hajamaliza nayo Buyern Munich hata mwezi mmoja tuMbinu za tuchel zimepitwa na wakati,
Bayern Ni ile ile
ila Ukiiangalia bayern ya tuchel na Bayern ya Julian Ni vitu viwili tofauti.
Bayern ya tuchel inacheza soka la kipumbavu Sana utadhan Chelsea ya lampard![]()
Kwani imeandikwa wapi lazima kila legend awe Kocha?Lampard hafai kuwa kocha wa timu yoyote ile, Lamps ni failure
Lampard alichezea pesa zake zimeisha ndo maana anakimbilia kuwa kocha.Kwani imeandikwa wapi lazima kila legand awe Kocha?
Mbona akina Canavaro, De Lima wamestaafu mpira na wana maisha mazuri tu bila ya kuwa Makocha na maisha yanaendelea tu?
Tunafanana,
Huyu sio kocha KABISA![]()
Dah OstazMtaani tumekuwa kama waadhirika wa ukimwi



