DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,418
Na ael atafukuzwa TU msimu hauishi,Ni tapeli tu kama Lampard
Bayern tayar nafas ya pili,ubingwa wa ligi nao anapoteza

Na ael atafukuzwa TU msimu hauishi,Ni tapeli tu kama Lampard

Na ael atafukuzwa TU msimu hauishi,
Bayern tayar nafas ya pili,ubingwa wa ligi nao anapoteza![]()
🤣🤣🤣Boehly kaza baba ni timu yako fanya utakavyo
Timu imepoteana,
mashabiki wanipotezea morali![]()
Kwa hiyo unamaanisha tukijikaza sana tunaambulia point 3 tu kwenye points 18? Chelsea KwishineiTHE BLUES FIXTURES
Arsenal vs Chel - TUNAFUNGWA
Bournemouth vs Chel - SARE/KUFUNGWA
Chel vs N. Forest - SARE/KUFUNGWA
City vs Chel - TUNAULIWA
Man utd vs Chel - PIPA NA MFUNIKO/SARE
Chel vs Newcastle - TUNAFUNGWA
Msimseme vibaya, wakati anakuja Chelsea ni Silva na Zouma pale nyuma alikuwa kwenye form tuYule jamaa alipata jina Chelsea kwa kuwakuta vijana wako kwenye moto ila sio kwa mbinu zake. Tuch ni Jasusi la Ujerumani pale Munich
Hiii picha ina maaana gani? Mkuuu
Huoni Luis anafanya nini?Hiii picha ina maaana gani? Mkuuu