Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Brentford leo tuna jambo letu
Cheltako mkipata hata droo nipigwe Ban LA mwaka
CHeltako Forever
Lampanyoko Forever
 
1682513764543.png
 
Mfungaji wa magoli mengi wa siku zote pale darajani (All time top goal scorers) Frank Lampard akipeana 1, 2, 3 na mfungaji wa pili wa magoli kwa siku zote pale darajani Boby Tambling alipotembelea uwanja wa mazoezi kuwatia moyop vijana.

Fuk4HLiXwBYqEJl


 
Tujikumbushe UEFA Semi final ya 2012 baina ya Chelsea na Barcelona 2nd leg kule Campnou
Ashley cole akiwa kwenye line ya mwsho kabisa ya mabeki wa Chelsea alipata mpira uliokuwa unazurura na kumpasia Torres kwa haraka na yeye bila ajizi akamhadaa kipa wa Barcelona na kufunga kilaini katika dk ya 90+1
Wakati tunacheza nao kwao tukiwa pungufu baada ya Terry kutolewa dk ya 37 kwa red card
Spirit ya timu ilikuwa juu sana, na hiyo spirit siku hizi imepotea sijui nani kailoga Chelsea yetu
View attachment 2597959

PN-erq0jrWtV8DgjdfmkO8ChoqVc4DuIuHCuGuFsYVs.png

5XUHIWE6EZNZTCT3UKXE6LMRK4.jpg

Hii mechi nilitoa machozi aisee baada ya tores kufunga Goli la pili. Na goli zote zilifungwa dakk za lala salama. Goli la Ramires dk ya 45 za nyongeza Tores yeye alifunga dk 90.
 
Pochettino sasa yuko ndani ya 18 kuwa kocha wa Chelsea, bado refa boehly kupuliza tu kipenga ili awe kocha kamili
Taarifa zinadai kuwa approach ya kwanza aliyofanya Boehly mwaka jana Pochetino aliikataa kwa sababu haikumpa udhibiti kocha, hii ya sasa naona kocha atakuwa na udhibiti wa timu zaidi
View attachment 2599299

Ndugu wanaChelsea vipi huyo Pochettino atatuvusha kweli msimu ujao?

Kwann Boehly asimchukue yule kocha wa Aston Vila
 
Wiki ijayo tunategemea Club Annoucement kuwa
Mauricio Pochettinoi ndiye kocha wa Chelsea na ataanza kazi rasmi mwenzi wa sita tarehe 1
 
Sio the blues ya sasa yenye wachezaji wengi wavulana, laini laini, miss epl, kwashakoo, wapaka bleach, Waruwaru na paparazi
Hii hali imetengenezwa na makocha waliopita. Akija kocha mzuri form za wachezaji utashjangaa zitakavyobadilika na kuwa agressive and strong. Ambaye hataimprove mimi naona wa kwanza ni Sterling, kaja Chelsea kula kiinua mgongo tu
 
Chalobah anacheza kushoto
Kante mbele
Lampard simuelewi kabisa
Badiashile ni mzima kwa nini asicheze nafasi yake?
Datro kwa nini asipewe nafasi ya kucheza, huyo sterling kashindwa kuyleta impact bado anapangwa tu
1682532651832.png

1682532682793.png
 
Hivi kumbe na wazungu wanaweza kuwa ma failure kiasi hiki? Yaani Lampard kashindwa kabisa kushinda mechi hata moja hata kama kaletwa pale kumalizia msimu! Binafsi mi nashangaa sana
 
Hivi kumbe na wazungu wanaweza kuwa ma failure kiasi hiki? Yaani Lampard kashindwa kabisa kushinda mechi hata moja hata kama kaletwa pale kumalizia msimu! Binafsi mi nashangaa sana
Mkuu Hawa ma legends wa uingeleza wanajifanyaga wanajua Sana kuchambua mpira . Kasheshe linakuja wanapopewa kuongoza timu 😂😂
Wakiwa kwenye tv wanachambua mpira full kukosoa na kuwananga makocha wakikabidhiwa ukocha full vipigo 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom