Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Rekodi zitakazowekwa
Lampard anaweza kuwa kocha atakeyeweka rekodi ya dunia kufundisha timu bila kushinda mechi hata moja
Wining %age = 0
Pia anaweza kuwa kocha mwenye magoli machache ya kufunga
 
Mnashuka daraja sababu akina Forest wanashinda games zao.
Inasikitisha sana,mmeisha shuka daraja
 
Mchawi ni huyu, hata aje kocha gani, huyu jamaa kaiharibu timu kabisa. Kuna mambo mengine yanaendelea nyuma ya pazia hatujui
Alisema wamefanya makosa msimu wao wa kwanza Chelsea ila hawakusema makosa gani
Je ni kumfukuza Tuchel na kumleta Potter?
Je ni kununua wachezaji holela bila ushiriki wa kocha?
Je ni Boehly kushikilia nyasifa zote kuanzia umiliki wa timu, president, scouting, ukocha nk?
FuqrmTBX0AI2ZnR
 
Kosa kubwa ni kumfukuza Tuchel, kosa kubwa zaidi ni Toddy kuchukua timu.
Tupigwe ila tusishuke daraja, atleast tuwe namba 17 nitafurahi sana
Hata Tuchel angekuwepo mambo yangekuwa hivi hivi
Kosa kubwa ni Todd kuingilia nafasi za kitaalamu na kitaaluma wakati yeye ni muuza mapeas tu
Tuko hapa, tutafute kocha nguli kupita wote, Boehly akiendelea kufanya kazi za kiutendaji, timu itaendelea kuharibika
Timu hii itapona tu yeye akiamua kufuata mbinu za uongozi wa Abramovich
  • Stay away from management
  • Stay away from contracts
  • Stay away from all executive activities
  • Anatakiwa tu afanye maamuzi makubwa kama ya kuidhinisha ajira za wakurugenzi na kocha pamoja na big spending za wachezaji maalum
  • Akitaka afanye kila kitu hii timu itaoza na itajikuta siku moja iko Vanarama league
 
Kumreplace Potter na kumleta Lamps ni sawq na kuruka mkojo na kukanyaga feaces.
Huyu lampard aliyeshindwa first spell na everton iweje umlete wakat kuna makocha hata kwa short term wangekubal huku wengine walikuwa tayar kukubal kuchukua team katikat mwa msim.
 
Hivi kumbe na wazungu wanaweza kuwa ma failure kiasi hiki? Yaani Lampard kashindwa kabisa kushinda mechi hata moja hata kama kaletwa pale kumalizia msimu! Binafsi mi nashangaa sana
Kuna wachezaji wanamuhujumu anatakiwa awapige bench first eleven yote aingize sura mpya ambazo hatujawahi ziona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom