Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wa nane kula panga Chelsea msimu wa joto... toa maoni yako.
Chelsea could axe up eight players to stay in line with Financial Fair Play rules.

Christian Pulisic,
Hakim Ziyech,
Kalidou Koulibaly,
Mason Mount,
Ruben Loftus-Cheek,
Conor Gallagher,
Romelu Lukaku and
Pierre-Emerick Aubameyang
could all be sold after a difficult campaign.
 
Hii timu imebakiza mechi ngapi ili tuangalie kama tunaweza kushuka daraja ama hatushuki?!
7 games to go - ni point 21 zipo mkononi mwake. Kama atashinda zote basi huenda akapata nafasi ya kapu la Uefa ndogo.

Total point anazoweza kufikisha akishinda zote ni - 39 za sasa + 21 = 60.

Bado matumaini kidogo ya kwenda mbinguni 😀 😀
 
7 games to go - ni point 21 zipo mkononi mwake. Kama atashinda zote basi huenda akapata nafasi ya kapu la Uefa ndogo.

Total point anazoweza kufikisha akishinda zote ni - 39 za sasa + 21 = 60.

Bado matumaini kidogo ya kwenda mbinguni 😀 😀
Fuso wacha kuota ndoto za mchana, mwenzako kauliza swali zuri na la maana kwa kipindi tulichonacho. Ushindi wetu uliobakia pekee ni kubakia EPL
Ungesema kama tukifungwa zote tutabakia kuwa na ponts 39.
Je hizo zinatosha kutubakiza EPL?
 
Kitu Tod Boehly ambach anatakiwa kujua football ni mchezo.wa tofauti unaweza ukawa na wachezaj wqzuri ila kama hauna kocha ni kazi bure.hii sio baseball ambayo unaweza kusanya wachezaj qwnye talent hata kocha akiwa kilaza bado watachukua makombe
 
Taarifa ni kwamba kina mudi na wenzie wapaka blichi mishahara yao itakatwa 30%
20230326_231358.jpg
 
Wa nane kula panga Chelsea msimu wa joto... toa maoni yako.
Chelsea could axe up eight players to stay in line with Financial Fair Play rules.

Christian Pulisic,
Hakim Ziyech,
Kalidou Koulibaly,
Mason Mount,
Ruben Loftus-Cheek,
Conor Gallagher,
Romelu Lukaku and
Pierre-Emerick Aubameyang
could all be sold after a difficult campaign.
Sasa kulibali baba wa watu kawakosea nini na amesajiliwa juzi tu?

Na mwenetu kuku nae hana baya na mtu
JamiiForums405573959.jpg
 
Makocha wazuri hawatakubali kufanya kazi na Boehly, hii ni ya uhakika
Tutaishia kupata Puppet kama akina Lampard na Potter, nasema Lampard kwa sababu tabia chafu ya Boehly kuingilia dressing room yeye Lampard anasifia

Changamoto Alizoziona Julian Nagelsmann ndani ya Chelsea ni nyingi na mojawapo ni
  1. Changamoto za kimuundo
  2. Changamoto za usajili
  3. Changamoto za mchakato wa maamuzi ambao hautasaidia uongozi wake kama kocha ndani ya Chelsea

According to Sky Sports journalist Melissa Reddy, Nagelsmann felt as though there were numerous issues at Chelsea including
  1. fundamental structural,
  2. recruitment and
  3. process decisions that wouldn't best serve his management."
Goal.com wanaripoti kuwa sababu kubwa ya Tuchel kufukuzwa ni kwa sababu Tuchel alimnyima Boehly kuingia Dressing Room wakati wa mapumziko Septemba Chelsea ilipocheza na Westham. Lampard yeye anasifia Boehly kila mara kuingia na kuchafua hali ya hewa dressing room, poor Lampard anafaa sana kuosha miguu ya Boehly
 
Kule Munich Tuchel hafanyi vizuri
  1. Bayern imetolewa UEFA
  2. Leo kakung'utwa 3-1 na Mainz
  3. Kwenye Table wamerudi namba 2 kama alivyoacha Julian
  4. Wachezaji wanacheza individually tofauti na wakati wa Julian
  5. Bodi sasa wanatafutana mchawi
Tuchel anaweza asiendelee msimu ujao kuifundisha Bayern Munich kwa sababu kwa sasa tension ni kubwa dressing room kuliko wakati wa Julian
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom