Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Boehly mpe mzarendo Lampard mikumi kabisa ni kijana hakuna haja ya posh queen
Sio kweli kwamba tuna wachezaji wa kawaida sema ni kwamba tu wachezaji waliokata tamaa wacheza ilimradi tu wamalize dk 90 lakini pia chelsea haina mfumo wa uchezaji ndio maana unakuta ubora hauonekani kwa wachezajiFinally nimerudi, hii timu yetu ni kheri tusubiri msimu ujao. Ila ki uhalisia tofauti na kocha tuna wachezaji wa kawaida sana.
Wewe umetaja wachezaji wachache wazuri ni wengi tunazungumzia kwa ujumla Mudryk, Madueke, Bachishile dafro Fofana, Jao felix, Enzo, Kante, Kovacic,Mendy,Fofana,Silva, James,Mount, Chillwel wote hawa ni wachezaji wazuriWachezaji wa kawaida wapo kibao kama:-
1. Miss epl
2. Waruwaru
3. Mpira vurugu
4. Paparazi
5. Kwashakoo
6. Mtumishi hewa
7. Ndege John
Labda useme kwamba timu ikiwa na mfumo bora, wale wachezaji bora watawabeba hawa wa kawaida nao waonekane bora, hence timu bora.
NAunga mkono, tuna wachezaji wazuri sana. Tukipata kocha anaejua tutasumbua sana.Wewe umetaja wachezaji wachache wazuri ni wengi tunazungumzia kwa ujumla Mudryk, Madueke, Bachishile dafro Fofana, Jao felix, Enzo, Kante, Kovacic,Mendy,Fofana,Silva, James,Mount, Chillwel wote hawa ni wachezaji wazuri

Tuna wachezaj wazuri ambao wamekosa mwalim tu wa kuwaongoza,Wewe umetaja wachezaji wachache wazuri ni wengi tunazungumzia kwa ujumla Mudryk, Madueke, Bachishile dafro Fofana, Jao felix, Enzo, Kante, Kovacic,Mendy,Fofana,Silva, James,Mount, Chillwel wote hawa ni wachezaji wazuri
Hao unaosema wakiume wapo sokoni?Wachezaji wazuri ila waliosajiliwa hivi karibuni sio wa utamaduni wetu, sio type yetu, sio style yetu.
Ni wazuri ila sio wazuri kwenye utamaduni/style yetu ya kutupa mafanikio.
Wachezaji waliotupa mafanikio huko nyuma hawakuwa style ya kina:-
Kai, Mudyk, Madueke, Pulisic, Badieshile, Cucurela, Enzo.
Turudi kwenye utamaduni wetu wa kusajili wachezaji wanaume wa kazi, vipaji kazi sio vipaji bleach, tatooes, kudeka.
Vipaji vyenye uchu wa mafanikio, uchu wa upambanaji na kujituma sio vipaji vya bora liende, bora tulipwe mshahara, vipaji mzigo.
Mtasema mpira wa siku hizi umebadila blah blah, ila nawaambia kamwe Chelsea haitabadilika kwenye uchezaji wake, utamaduni wake, sajili za wachezaji wa aina yake, jinsi ya kubeba makombe yake
Kwani Tuchel alipoikuta timu sio ilikuwa na wachezaji wa kawaida tu, mbona aliwainua kiwango na akabeba UCL mbele ya Man City iliyokuwa onfire 2021?Sawa, ngoja tuone uzuri wao chini ya Pochetino.
Zama zinabadilika, ni ngumu sasa kupata wachezaj aina yakina drogba,terry,ballack,Wachezaji wazuri ila waliosajiliwa hivi karibuni sio wa utamaduni wetu, sio type yetu, sio style yetu.
Ni wazuri ila sio wazuri kwenye utamaduni/style yetu ya kutupa mafanikio.
Wachezaji waliotupa mafanikio huko nyuma hawakuwa style ya kina:-
Kai, Mudyk, Madueke, Pulisic, Badieshile, Cucurela, Enzo.
Turudi kwenye utamaduni wetu wa kusajili wachezaji wanaume wa kazi, vipaji kazi sio vipaji bleach, tatooes, kudeka.
Vipaji vyenye uchu wa mafanikio, uchu wa upambanaji na kujituma sio vipaji vya bora liende, bora tulipwe mshahara, vipaji mzigo.
Mtasema mpira wa siku hizi umebadila blah blah, ila nawaambia kamwe Chelsea haitabadilika kwenye uchezaji wake, utamaduni wake, sajili za wachezaji wa aina yake, jinsi ya kubeba makombe yake
Wachezaji wazuri wapo kibao ila scouting dept. Ya chelsea ni mbovu hawawezi kuvumbua mchezaji mpk wasikie anatakiwa na timu nyingine kubwa kitendo kinachopelekea overpricing...Zama zinabadilika, ni ngumu sasa kupata wachezaj aina yakina drogba,terry,ballack,
We angalia hata team zingine zikoje
Mkuu utaboresha vipi mishahara ya watu kama kina mudryk?? Yaani mchezaji anashijdwa hata kutuliza mpira ,kutoa pasi au kupiga shuti ili hali kasajiliwa karibu euro milioni 100.Kwani Tuchel alipoikuta timu sio ilikuwa na wachezaji wa kawaida tu, mbona aliwainua kiwango na akabeba UCL mbele ya Man City iliyokuwa onfire 2021?
Mimi nadiriki kusema japo tuna baadhi ya wachezaji matakataka ila sehemu kubwa ya ubovu wa Chelsea ni nje ya wachezaji
Uongozi wa Boehly na Kocha mbovu anayeletwa na Boehly
Kuna kitu kibaya Boehly kawakatisha tamaa wachezaji
Wachezaji wanaona hawana future Chelsea kwa sababu hakutakuwa na kuboresha mikataba kama wakati wa Abramovich. Case study ni mkataba wa Mason Mount
Kuna fununu pia zilisikika kuwa wachezaji wenye mishaha mikubwa wataondolewa
Kitu wachezaji wanachoona kuwa kuwa huu utawala mpya hawako tayari kuwaboreshea wachezaji mikataba yao so kwa nini wachezaji wajitoe mhanga wakati matajiri wenyewe hawako tayari kufanya hivyo?
Tendo la Bopehly kwenda dressing room kuwafokea na kuwanyanyapaa wachezaji kinawaumiza wachezaji wapya akiwemo Mudryk na Enzo na wengineo.
Pia kuna wachezaji wengi wameanza kulalamika kuwa waliingizwa chocho na boehly kuwasainisha mikataba ya muda mrefu na huku hawapewi muda wa kucheza
Hizi ni tetesi tu, ukweli utajulikana muda unavyokwenda
So ukiona wachezaji wamejikatia tamaa ni kwa sababu wanaona hawana future nzuri Chelsea
Hii trio ilikuwa balaa...ni chelsea ambayo hata tulipokuwa tukifungwa bao mbili nlikuwa sina wasiwasi nilijua magoli yanarudi...nliumia sana tulivyomuacha mata na oscarChelsea 2012/13 season:
- Juan Mata: 18 goals 34 assists
- Eden Hazard: 13 goals 23 assists
- Oscar: 12 goals 12 assists
![]()
Chelsea inatakiwa irudi kwenye utamaduni wa kutumia stikers wawili. Mabeki wa timu pinzani wana relax sana wakiwa wanamkaba striker mmoja ....fikiria msimu wa mwaka 2009/2010...chelsea inaanza na drogba na anelka pale mbele. Mabeki walikuwa hawajui wamkabe naniNingekuwa Lampard kwa jinsi anavyovurunda na anajua kwamba mwisho msimu anaachia timu
Basi kwa mechi zilizobaki ningepanga kikosi kuwafurahisha mashabiki.
----- Fofana -----
Mudyk - Jao - Madueke
---- Enzo --- Kante ---
Chel - Badi - Silva - Fofana
Sub:- Auba, Mtumishi hewa, waruwaru, mpira vurugu, miss epl, Kova, chuku
Naomba uelewe maana ya future. Usinitafsiri direct. Tumchukulie Mudryk kwa niaba ya wengine. Hata acheze vizuri baada ya mpria wake kukua may be 5 years to come anahisi hataboreshewa mkataba wake kwa sababu ya kauli zinazotolewa na Boehly huku aliwafungishia mkataba wa miaka mingi. Wanaona career yao imewekwa kifungo cha muda mrefu. Hiyo ndio maana ya andiko langu. Wewe ukaja ukafanya direct transalation bila kujali details za kwenye andiko.Mkuu utaboresha vipi mishahara ya watu kama kina mudryk?? Yaani mchezaji anashijdwa hata kutuliza mpira ,kutoa pasi au kupiga shuti ili hali kasajiliwa karibu euro milioni 100.
Mchezaji kama mount unamlipaje £250k au £300k per week....ana nini cha ajabu anaisaidia chelsea. Akitoka chelsea hakuna klabu kubwa itakayomtaka na kumlipa pesa kama anazolipwa chelsea.
Boss ana haki ya kulalamikia pesa zake , ametoa zaidi ya trilioni moja ya kibongo kusajili wachezaji ambao hawajitumi na hawana uchungu na timu. Kufoka na kugomba ni halali yakr
Pochettino naye ni evarage coach, sijaona akiwa na mafanikio ya kombe lolote la maana.Sawa, ngoja tuone uzuri wao chini ya Pochetino.
Kufa hatufi ila cha moto tunakiona.Mara ya mwisho kushinda game crystal palace alikuwa na point 29, mpka wanamfukuzq Viera wako na point 29, sisi tuko na 39, ila tangu mzee Roy Hodgson arudi now wanapoint 40 sisi tuko na zile zile 39![]()
Magumu wanayopitia Liverkuku, Arsepimbi na Mwantesa Utd ndiyo nasi Wana Chelsea tutayapitia tutake au tusitake.Kwani Tuchel alipoikuta timu sio ilikuwa na wachezaji wa kawaida tu, mbona aliwainua kiwango na akabeba UCL mbele ya Man City iliyokuwa onfire 2021?