😂😂Unataka Lembu akununulie biriyani wakati chelsea hajashinda game hata moja tangu aje lampard lampizzo??!
Kovacic Tena? Kuna ukweli kwenye Hili?Chelsea wana mpango wa kuwauza wachezaji hawa bei nzuri ikipatikana
Wanaamini pia Cucurella atakuja kuwa mchezaji mzuri ila maoni ya kocha mpya itabadili upepo
- Kepa,
- Mendy,
- Azpilicueta,
- Koulibally
- Maatsen,
- Kovacic,
- Ampadu,
- Gallagher,
- Cheek,
- Mount,
- Havertz,
- CHO,
- Sterling,
- Pulisic,
- Ziyech,
- Broja na
- Aubameyang
Kova kachuja huyu sie yule wa misimu iliyopita miwili/mitatuKovacic Tena? Kuna ukweli kwenye Hili?
Hata kwa Kante ulisema hivi hivi so sikushangai Kovacic ni mchezaji mwenye experience yakutosha so kudrop kiwango ni normal issue huwezi ukawa Bora muda wote na ukizingatia pia team yetu overall haipo stable haina define structure ya uchezaji ila ni suala la muda tu atarudi kwenye ubora wakeKova kachuja huyu sie yule wa misimu iliyopita miwili/mitatu





Huyu jamaa ni mduanzi, hajua kitu kuhusu mpira. anachojua ni kucopy na kupaste.Hata kwa Kante ulisema hivi hivi so sikushangai Kovacic ni mchezaji mwenye experience yakutosha so kudrop kiwango ni normal issue huwezi ukawa Bora muda wote na ukizingatia pia team yetu overall haipo stable haina define structure ya uchezaji ila ni suala la muda tu atarudi kwenye ubora wake
Hiyo nimesema tu ila sababu kubwa niHata kwa Kante ulisema hivi hivi so sikushangai Kovacic ni mchezaji mwenye experience yakutosha so kudrop kiwango ni normal issue huwezi ukawa Bora muda wote na ukizingatia pia team yetu overall haipo stable haina define structure ya uchezaji ila ni suala la muda tu atarudi kwenye ubora wake
Anaelaumiwa bayern now ni Oliver KahnKule Munich Tuchel hafanyi vizuri
Tuchel anaweza asiendelee msimu ujao kuifundisha Bayern Munich kwa sababu kwa sasa tension ni kubwa dressing room kuliko wakati wa Julian
- Bayern imetolewa UEFA
- Leo kakung'utwa 3-1 na Mainz
- Kwenye Table wamerudi namba 2 kama alivyoacha Julian
- Wachezaji wanacheza individually tofauti na wakati wa Julian
- Bodi sasa wanatafutana mchawi