lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
EPL title contenders ni Arsenal na Mancity ila Top 4 contenders hakuna
Timtable mimi naona itabaki hivyo hivyo hadi mwisho, kitakachobadilika ni nani awe wa kwanza kati ya Arsenal na city na nani awe wa tatu kati ya Man U na Newcastle, end of EPL top 4 kwa mwaka huu