Kmuulize Eric ten hag kama pesa inasaidia kama kocha huna uwezo ....
Hakuna timu yenye pesa kama chelsea ,potter kapewa kila aina ya mchezaji anayetaka lakin Kiko wapi ..
Sajili za pep ni average player kabisa ...
Akanji
Ake
Stone
Dias
Phillips
Laporte
.
.
Hao wote ni average player ambao hata wachezaji wa chelsea wanawazidi ,Tena wanasugua bench ,ake kawatransformed na pep.....
mfumo wa pep ndio unawabeba ....
PESA KAMA KOCHA NI KILAZA KAMA POTTER HAZISAIDII KITU .....
Chelsea imetumia mpaka Sasa mabillion ya pesa lakin hawana hata mfumo kuwachezesha ,wanakundi kubwa la wachezaji kiasi kwamba kocha hana mfumo na mbinu za kuwatumia......
Sasa hapo utasema nin ...