Hapa unazingua kiuchambuzi hao wote uliyotaja ni wachezaji wazuri ukimuondoa Cucurella sema wamekosa kocha mzuri wakuwachezesha system sahihiYote Tisa ,kumi chelsea iko na average player bana
Fofana
Cucumber
Mudryk
Madueke ...
Hawa huwezi nambia ni world class player wenye skills ..
Pale kati namuona kante na kovacic ndio wanyumbulifu ,wengine ni sakata twende ....
Nafasi zote alizokuwa anakosa Kai na Felix ni kaz ya kante ....
Kulikua hamna maana kumfukuza potter na kubak na huyu mpuuz mwenzake. mana kila anachofanya ni kile kile cha potter.Huyu Bruno ni Potter mtupu na wasiwasi ndiye aliyekuwa anampangia kikosi
Huyo siku zote sio mchambuzi, ni mchambaji.Hapa unazingua kiuchambuzi hao wote uliyotaja ni wachezaji wazuri ukimuondoa Cucurella sema wamekosa kocha mzuri wakuwachezesha system sahihi
Hahahaha dah.Kuna chura anamshangilia Pochettino.
Mwingine anakuambia wanahitaji kocha mwenye big club experience ila anakutajia Amorim.
Dafuq
Hata mimi ninashangaa sana ,kuna mambo yanakera ,yule dogo Datro Fofana hawampi hata nafasi ,ujinga gani huu ?Mimi nauliza na naomba nifahamishwe kwa kina, hawa makocha wanaona nini hasa kwa huyu mpuuzi anaitwa Havertz kinacho sababisha anacheza dakika 90 kila mechi?
Huyu jama mpira wake ni mzuri japo hajawahi kufundisha timu za epl. Ndo chagamoto kubwa hiyo.Tusiyempenda kaja darajani daaahView attachment 2577108
Sidhani kama tutakuwa washindani maana filosofi zake ni sawa na za Marcelo Biesla, tutegemee kufungwa kijinga sana kwa timu zisizoremba kwenye kaunta ataki kama Everton, Brighton, Liverpool, nk...Huyu jama mpira wake ni mzuri japo hajawahi kufundisha timu za epl. Ndo chagamoto kubwa hiyo.

Kwani makocha tulikuwa nao huko nyuma waliwahi kufundisha EplHuyu jama mpira wake ni mzuri japo hajawahi kufundisha timu za epl. Ndo chagamoto kubwa hiyo.
Walikua hawajawahi ila waliweza kufauru ila kwa huyu tunaomba pia afauru tu.Kwani makocha tulikuwa nao huko nyuma waliwahi kufundisha Epl
Kumiliki mpira ndio aina ya sasa ya soka mpira wa ujanja siku hizi hauna nafasi kabisaSidhani kama tutakuwa washindani maana filosofi zake ni sawa na za Marcelo Biesla, tutegemee kufungwa kijinga sana kwa timu zisizoremba kwenye kaunta ataki kama Everton, Brighton, Liverpool, nk...![]()
Ni kweli Epl inahitaji kasi intensity kama bundsliga sio kama la liga inabidi abadalike akipewa mkoba hiyo.Sidhani kama tutakuwa washindani maana filosofi zake ni sawa na za Marcelo Biesla, tutegemee kufungwa kijinga sana kwa timu zisizoremba kwenye kaunta ataki kama Everton, Brighton, Liverpool, nk...![]()
Luis Enrique ni kocha mzoefu sana na aina yake ya soka ni sawa na Pep apewe mda atafanya vizuriWalikua hawajawahi ila waliweza kufauru ila kwa huyu tunaomba pia afauru tu.
Hata Pep wakati anapewa City mlisema hivyo lakini now katawala EplNi kweli Epl inahitaji kasi intensity kama bundsliga sio kama la liga inabidi abadalike akipewa mkoba hiyo.