Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_7611.jpg
 
Kikosi cha chelsea chini ya lampard
Kepa
James
Chilwell
Chalobah
Koulibaly
Kante
Enzo
Callagher
Mount
Mudryk
Sterling akiwa mzima
Felix

Kinumbo
 
Kuna shabiki moja hapa alidhihaki Kante kwasbb ya kuumia na kusema Chelsea sio sehemu yawagonjwa aondoke tu. Lakini walio tizama mpira jana ni mashahidi kante ni zaidi ya mchezaji wa kawaida.

Anazidi hata wale walio nunuliwa million 130, ana nguvu ya work rate kuliko wale wenye miaka 23, 22, anazunguka uwanja wote ni attacking middle fielder mzuri pass zote hatari katoa yeye mpaka kocha akaona amtowe ili amlinde mpaka mechi ya Madrid.

Gharagha hafai kucheza katika kikosi cha kwaza yule hana skill yoyote na mwenzia Loftus cheek hao ni mzigo, Chelsea ikipata tactical kocha itatisha sanaa Liverpool angapigwa zaid ya tano ila mpagilio wa kocha ulikua wa hovyo.
Uyu ni lembu huyu kuna muda akili zake zinakuwaga trakoni kwaiyo ajui anachoongeya.
 
Uyu ni lembu huyu kuna muda akili zake zinakuwaga trakoni kwaiyo ajui anachoongeya.
Mimi nilisema kabisa huna haja ya kubisha. Sababu yangu nyuma ni hasira ya kumkosa Kante wakati timu inateseka kufungwa hovyo huku tunaye world class CM kalala mgonjwa. Maelezo yangu hayakuwa na lengo la ku question uwezo wa Kante. So cool guy
Kama unaweka kumbukumbu vizuri ndie mimi mimi niliyesema Kante akirudi majeruhi na mechi chache anazocheza anawazidi hayo matakataka yanayocheza mechi zote bila impact
Nimeshatolea maelezo hapo juu, wewe huwa husomi post za watu unakuja na akili za kwako kwako tu za kwenye vijiwe sijui kutoka wapi!!
 
Ujio wa Lampard hata kama ni kwa kipindi kifupi una maana gani kwa squad na choices za kucheza

Tutegemee hawa watapata muda woote wa kutosha kucheza
  1. Mason Mount atarudi kwenye nchi ya ahadi
  2. Edourd Mendy atarudi kwenye nchi ya ahadi
  3. Kai Havertz ataendelea kufurahia nchi ya ahadi
 
Ujio wa Frank Lampard utakuwa na adhari gani kwenye uchezaji
  1. Timu itakuwa inashambulia sana na kufunga sana
  2. Mpira mzuri utacheza wa haraka na kasi na direct
  3. Tutegemee pia kufungwa magoli yua kijinga jinga na pia kupoteza points za kijinga jinga
 
Lampard Alimtamani Auba akiwa Arsenal
Ripoti zinasema kuwa Lampard alipendkeza kwa bodi kumsajili Auba alipokuwa hana mahusiano mazuri na uongozi wa Arsenal.
Bodi ilikataa na badala yake ikamsajili Timo Werner kwenye hiyo nafasi ya ushambuliaji badala ya Auba

Sasa karudi huku Auba kashasajiliwa Chelsea na outcast wa Potter sasa anampata rafiki. Je atarudishwa kikosini na kupewa muda wa kucheza?

Comming soon
 
Ujio wa Frank Lampard utakuwa na adhari gani kwenye uchezaji
  1. Timu itakuwa inashambulia sana na kufunga sana
  2. Mpira mzuri utacheza wa haraka na kasi na direct
  3. Tutegemee pia kufungwa magoli yua kijinga jinga na pia kupoteza points za kijinga jinga
Utafunga 'sana' na huna ST?
 
Kwa Lampard.

Nyumba atatumia back 4.

James Koulibaly Fofana Chilwell

Kati

Enzo Kante/Kova

Mbele

Sterling Mudyrik Mount/Joao Havertz.
 
Lampard akionyesha kandanda safi na kuchukua UCL anaweza kufanya manager kamili wa Chelsea
Hayo yakitokea yafuatayo yanaweza kutokea pia
  1. Tammy Abraham atarudishwa Darajani
  2. Koulibally atauzwa
  3. Colwill ofcourse atarudishwa atapewa nafasi kwenye squad
  4. Galagher atauzwa
  5. Mount atakuwa kapteni wa timu
  6. Formation ya 433 ndio itakayotumika sana
  7. Wachezaji wasiofit kwenye falsafa watauzwa
 
Lampard kwenye press conferense amedai kuhusu ukubwa wa squad kuwa vilabu vya kisasa zinakuwa na deep squad na yeye atahakikisha kila mchezaji atajisikia amehusishwa kwenye squad. Hapa tutegemee rotation kubwa

Line up ya Lampard kwenye caretaker period

Main formation 4-3-3

Mount -------------- Auba --------------- Sterling

Kovacic ------------- Enzo -------------- Kante

Chilwell -------Silva ------- Fofana ------ James

-------------------- Mendy ------------------

Supper sub

  1. Kepa for Mendy
  2. Cucurella for Chilwell
  3. Badiashile for Silva
  4. Chalobah for Fofana
  5. Felix for Mount
  6. Havertz for Auba
  7. Madueke for Sterling
Sub za kawaida na au rotation
  1. Mudryk
  2. Cheek
  3. Pulisic
  4. Koulibaly
  5. Ziyech
  6. Datro Fofana
  7. Chunkwuemeka
  8. Denis Zakaria
  9. Galagher
  10. Azpilicueta
Other formation 4-2-3-1

----- -------------- Auba --------------- -----

Mudryk ----------- Mount ------------- Sterling

---------- Enzo ---------------- Kante---------

Chilwell -------Silva ------- Fofana ------ James

-------------------- Mendy ------------------

Supper sub

  1. Kepa for Mendy
  2. Cucurella for Chilwell
  3. Badiashile for Silva
  4. Chalobah for Fofana
  5. Felix for Mount
  6. Havertz for Auba
  7. Pulisic for Mudryk
  8. Madueke for Sterling
Sub za kawaida na au rotation
  1. Cheek
  2. Koulibaly
  3. Ziyech
  4. Datro Fofana
  5. Chunkwuemeka
  6. Denis Zakaria
  7. Galagher
  8. Azpilicueta
 
Koulibaly, Enzo, Kante, Mudryk na Felix ni waingereza?
Sasa kwnye nafasi hizo chelsea kuna muingereza wakuzicheza?
Hamna namna lazima wacheze hao ila kungekua na waingezera angepanga wote.
Sasa umeelewa?
 
Sasa kwnye nafasi hizo chelsea kuna muingereza wakuzicheza?
Hamna namna lazima wacheze hao ila kungekua na waingezera angepanga wote.
Sasa umeelewa?
ameelewa tayar, halafu kuna mwanae mount atacheza mech zote zilizobaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom