




InterimKaribu Frank, sisi Chelsea hatuna shaka na uwezo wako.
Kaza tushiriki Europa Conference msimu ijao ili mabosi wakiongozwa na Todd Boehl wakupe mkataba wa moja kwa moja wa miaka 8.
Hakuna cha Nagelsman wala Enrique, Anko Frank unatoshaa! Mitano tena babaaa!![]()
Najua.. mi nimesema tu, usichukulie serious 😂😂Interim
Short term plan mpka ligi iishe.
Kitu pekee mashabiki wa Chelsea mnachopaswa kuomba ni hao wachezaji wenu waukubali mfumo wa kocha ajaye regardless ya uzoefu wa kocha.Hata Pep wakati anapewa City mlisema hivyo lakini now katawala Epl
lembu ujumbe wako Huu njoo uoneKuna shabiki moja hapa alidhihaki Kante kwasbb ya kuumia na kusema Chelsea sio sehemu yawagonjwa aondoke tu. Lakini walio tizama mpira jana ni mashahidi kante ni zaidi ya mchezaji wa kawaida.
Anazidi hata wale walio nunuliwa million 130, ana nguvu ya work rate kuliko wale wenye miaka 23, 22, anazunguka uwanja wote ni attacking middle fielder mzuri pass zote hatari katoa yeye mpaka kocha akaona amtowe ili amlinde mpaka mechi ya Madrid.
Gharagha hafai kucheza katika kikosi cha kwaza yule hana skill yoyote na mwenzia Loftus cheek hao ni mzigo, Chelsea ikipata tactical kocha itatisha sanaa Liverpool angapigwa zaid ya tano ila mpagilio wa kocha ulikua wa hovyo.
Ukweli mtupuKmuulize Eric ten hag kama pesa inasaidia kama kocha huna uwezo ....
Hakuna timu yenye pesa kama chelsea ,potter kapewa kila aina ya mchezaji anayetaka lakin Kiko wapi ..
Sajili za pep ni average player kabisa ...
Akanji
Ake
Stone
Dias
Phillips
Laporte
.
.
Hao wote ni average player ambao hata wachezaji wa chelsea wanawazidi ,Tena wanasugua bench ,ake kawatransformed na pep.....
mfumo wa pep ndio unawabeba ....
PESA KAMA KOCHA NI KILAZA KAMA POTTER HAZISAIDII KITU .....
Chelsea imetumia mpaka Sasa mabillion ya pesa lakin hawana hata mfumo kuwachezesha ,wanakundi kubwa la wachezaji kiasi kwamba kocha hana mfumo na mbinu za kuwatumia......
Sasa hapo utasema nin ...
Sio kwamba Kai ajui nini chakufanya akiwa uwanjani kama unavyosema sema hajui nini chakufanya akiwa kwenye 18 ya mpinzani, jamaa mambo ya msingi anafanya akiwa nje ya box kama kuchezesha team au kutengeneza nafasi ila akifika golini ndio tatizo linaanza kuwepo kwakeKai Havertz ndio chanzo cha Tuchel na Potter kufukuzwa huyu mpuuzi ni hajui nini anatakiwa kufanya akiwa uwanjani. Ata kocha atakaye kuja akiendelea kumkumbatia yatamkuta ya watangulizi wake.
Uefa champions anacheza dk 90 huku kwenye ligi napo hivyo hivyo mpaka nashangaa sasa akiumia nani atacheza UEFA? Ukizingatia hayupo Fofana wala AubaHata mimi ninashangaa sana ,kuna mambo yanakera ,yule dogo Datro Fofana hawampi hata nafasi ,ujinga gani huu ?
Leo umeongea point kubwaKmuulize Eric ten hag kama pesa inasaidia kama kocha huna uwezo ....
Hakuna timu yenye pesa kama chelsea ,potter kapewa kila aina ya mchezaji anayetaka lakin Kiko wapi ..
Sajili za pep ni average player kabisa ...
Akanji
Ake
Stone
Dias
Phillips
Laporte
.
.
Hao wote ni average player ambao hata wachezaji wa chelsea wanawazidi ,Tena wanasugua bench ,ake kawatransformed na pep.....
mfumo wa pep ndio unawabeba ....
PESA KAMA KOCHA NI KILAZA KAMA POTTER HAZISAIDII KITU .....
Chelsea imetumia mpaka Sasa mabillion ya pesa lakin hawana hata mfumo kuwachezesha ,wanakundi kubwa la wachezaji kiasi kwamba kocha hana mfumo na mbinu za kuwatumia......
Sasa hapo utasema nin ...
Mbona Luis Enrique ni kocha mzuri. Ana ubaya ganiTusiyempenda kaja darajani daaahView attachment 2577108
Hata Pep wakati anakuja EPL alikua keshafundisha timu gani ya EPL?Huyu jama mpira wake ni mzuri japo hajawahi kufundisha timu za epl. Ndo chagamoto kubwa hiyo.
Niliwahi kusema huyo Todd hakupaswa hata kuweka bid ya kuinunua ChelseaEty lampard anaweza kurudi, aisee Toddy ni maviiiiiiiiiiiii
Bora Enrique sio huyo mjeruman aseehInavyoonekana kocha wetu ajae huenda akawa
Luis Enrique or Julian Naglesman.