Yapigwe tuMagoli yamegoma nachokiona mwishoni ni kufungwa TU
Hela ndogo sana hiyo Kwa Chelsea halafu mashabiki atulipi chochote na tumezoea Kuona makocha wanaajiriwa na kufukuzwa Chelsea ,kawaida sana.Halafu anakula £60M kwa kuvunjiwa mkataba
Hizo dalili ni mbayaKuna dalili nimeziona leo huenda mikoba ya Potter akakabidhiwa Frank Lampard.
Hapa umezinguaYote Tisa ,kumi chelsea iko na average player bana
Fofana
Cucumber
Mudryk
Madueke ...
Hawa huwezi nambia ni world class player wenye skills ..
Pale kati namuona kante na kovacic ndio wanyumbulifu ,wengine ni sakata twende ....
Nafasi zote alizokuwa anakosa Kai na Felix ni kaz ya kante ....
Mkuu kuwa na heshimaChelsea ni team ya mashoga aiseemachezaji yamelegea kama vile sio riziki
Mkuu Mimi mwenyewe the blues, kauli haijalenga mashabiki, imelenga team nzima (squad).. inakera sana mijitu inapoteza clear chances kabisaMkuu kuwa na heshimaView attachment 2576754
Mimi nauliza na naomba nifahamishwe kwa kina, hawa makocha wanaona nini hasa kwa huyu mpuuzi anaitwa Havertz kinacho sababisha anacheza dakika 90 kila mechi?