Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We don't have Choice
Enrique ni kocha mzuri ila angepambanishwa na Conte ningemchagua Conte
Ninachojua ni afadhali kumchukua Luis Enrique kuliko Julian Nagelsmann bado mdogo na hana uzoefu wa kutosha kuimudu Chelsea
Nilichopenda kwa Enrique ni falsafa yake ya direct football, pasi za haraka haraka na kuwalazimisha wachezaji wote kumpress
Conte hana maajabu UEFA tunahitaji mtu atafanya poa both ligi na UEFA, na changamoto aliyonayo Conte yupo very predictable kwenye mfumo wake
 
Conte hana maajabu UEFA tunahitaji mtu atafanya poa both ligi na UEFA, na changamoto aliyonayo Conte yupo very predictable kwenye mfumo wake
Good thing kwa Conte hawezi kuulea ujinmga unaoonyeshwa na hawa wachezaji wa Chelsea. Angewaforce kujitoa na kuleta matunda. Ndivyo alivyofanya 2016/17 na angerudia kufanya hivyo kama angepewa fursa. Cha kukatisha tamaa kwa Conte ni kwamba hayuko happy akiwa England
 
Chelsea mmerudia matapishi yenu. Being a greater player doesn't means ull become good coach. Lampard sio coach mzuri kama ilivyo kwa Oleguna sosha.

  • Blues back in the market for a new boss
  • Have turned to a familiar face for assistance
  • Second spell at the helm for fan favourite
WHAT HAPPENED? The 44-year-old, who spent 13 years in west London as a player, has answered an SOS call from his former employers after seeing them forced back into the market for a new manager. Potter was relieved of his duties after just 31 games at the helm and no permanent successor has been appointed before the end of the 2022-23 campaign - despite strong links to the likes of Luis Enrique and Julian Nagelsmann.

🏆 TOP STORY: Chelsea set to appoint Lampard as interim

📣 HAVE YOUR SAY: Does Lampard's Chelsea return prove Boehly has NO IDEA?

🚨 MUST READ: PSG would be CRAZY to keep Messi

THE BIGGER PICTURE: That has given Lampard an opportunity to take the reins again some two years after he was given his own marching orders by the Blues. The ex-England international left a prominent Premier League post in January 2021 after collecting 44 victories from 84 games at the helm and was also given the boot by Everton in January of this year after 12 months at Goodison Park.

AND WHAT'S MORE: The former midfielder is reportedly back in Cobham this Thursday, according to various outlets such as Sportsmail, to take his first training session with his new squad. He will be joined by fellow Blues legend Ashley Cole, as well as Joe Edwards who worked alongside him during his previous spell in west London.

IN TWO PHOTOS:

Frank Lampard Chelsea



Frank Lampard Chelsea Champions League trophy

WHAT NEXT? Lampard returns to Stamford Bridge with Chelsea sat 11th in the Premier League table and back in charge of a squad that has seen £600 million ($748m) invested in it across the last two transfer windows. His first game back will see the Blues take in a trip to Wolves on Saturday – with the first leg of a Champions League quarter-final clash with Real Madrid at Santiago Bernabeu to follow next Wednesday.
 
Kwa Maoni yangu kuhusu kocha

Nimeona mijadala ya nani atafaa kuwa kocha wetu wa msimu ujao for me katika makocha tunaohusishwa nao namuona anayetufaa ni Luis Enrique kwanini?

Kwa stage tuliofikia tunahitaji Kocha mwenye profile nzuri ya makombe, na mwenye experience ya kutosha ameshinda treble akiwa Barcelona, amefika final na team ya Taifa ya Hispania kombe la UEFA nation league akiwa na wachezaji wa kawaida sana wakina Moratta ndio striker, robo final ya Euro.Na Enrique ana vitu vyote hivyo kwanza ana experience ya kumage wachezaji wakubwa like Messi neymar jr luiz Suarez n.k

Kocha Mwenye Command na mwenye Win mentality

-Luis Enrique ni kocha mwenye demand kubwa Sana kwenye uchezaji yeye ndio alifanya Neymar, Messi na Luiz Suarez kupress high japo ni mastaa wakubwa sisi tunawachezaji wazuri ambao wanahitajika kupushia

Tactically ya Enrique


-Luis Enrique ni kocha ambaye alibadilisha aina uchezaji wa Barcelona kutoka mpira wa passi nyingi kwenda direct football anapenda usharpness wakushambulia uwe haraka kuwafikia opponent na Ndio maana chini yake Barcelona iliweka record ya kufunga magoal mengi Sana na Ndio kitu kunahitajika kwenye kikosi chetu Cha chelsea tuna changamoto ya kufunga magoal na tupo slow kwenye kumshambulia so mtu kama Luis Enrique ndio atakuwa tiba.

Kuna baadhi wanasema kama Luis ni mzuri kwanini alitoka kwenye hatua ya group stage na Hispania watu wanashindwa kujua Enrique kachukua Team Hispania mbovu Sana ikiwa haina Wachezaji wazuri kama tuliyoizoea yaani imagine Moratta ndio striker tegemezi wao kutoka kuwa na watu kama David Villa, Fernando Torres nk

Wana mtu kama ferran Torres ambaye alikuwa hapati hata number pale Man City lakini kutokana uhaba wa wachezaji wazuri ikijikuta anapata number kwenye Team ya Hispania.Pamoja na Team ya Hispania kuwa na wachezaji wa kawaida chini ya Luis Enrique lakini aliweza kuwapa atleast mafanikio mfano Alifikisha Fainal Hispania kwenye kombe la UEFA nation league, Robo final ya Euro kwa kikosi hicho hicho kibovu

Covax
lembu
Mbaga Jr
Cash Money Forever
Interlacustrine E
juan david
Mkohoti
Yah Enrique ndie mtu nayemkubali kuliko Juliana
 
Lampard na uchezaji wake wa direct football kama Enrique except that Lmaprd ameshindwa kufanya timu iwe compact na defensive
Timu inafunguka hovyo na kuchia empty space for opponent full exploit
Sidhani kama Lampard kabadilika
Tutafungwa mechi za kijinga kweli hadi tulie
Ni bora care taking ingefanywa na Bruno tu
 
Klabu ya Chelsea imethibitisha kumrejesha Frank Lampard (44) kuwa Kocha wa timu hiyo hadi mwisho wa msimu kufuatia kufukuzwa kwa Kocha Graham Potter

Kocha huyo ambaye pia ni mchezaji wa zamani alitupiwa virago Januari 2021 baada ya kuifundisha timu hiyo ya Magharibi mwa London kwa msimu mmoja na nusu

Januari mwaka huu, Lampard alipoteza kibarua chake katika Klabu ya Everton baada ya timu hiyo kucheza michezo 10 bila ushindi huku ikiwa nafasi ya 19 katika Ligi ya England
=====

5D84E0EB-ED63-4A3F-847B-A7FE2F9A4F61.jpeg

'We are delighted to welcome Frank back to Stamford Bridge,' they said in a statement. 'Frank is a Premier League Hall of Famer and a legend at this club. As we continue our thorough and exhaustive process for a permanent head coach, we want to provide the club and our fans with a clear and stable plan for the remainder of the season.
'We want to give ourselves every chance of success and Frank has all of the characteristics and qualities we need to drive us to the finish line.

'We have an important game against Wolves on Saturday and then we will turn our attention to our Champions League quarter-final in Madrid next week. We are all going to give Frank our full backing as we aim to get the best possible outcome from all our remaining games.'

Lampard has been out of work since Everton sacked him in January after just 12 months in charge but he now finds himself back in familiar surroundings trying to salvage Chelsea's season.
 
Mtu ambaye katimuliaa Everton team ndogo ambayo haina hata mpango wa Europa ,alitaka kuishusha daraja ndio wanamchukua Chelsea Tena wakiwa na malengo ya kuwapa CL ...kama sio vituko ni nin ...Bado Kuna watu watakaza fuvu et mpira unadunda , ...

Kamwe usije kumrudi ex wako ....
Mie nimemrudia na maisha mdundo tu acha ujinga kwan anafundisha timu yako
 
Mie nimemrudia na maisha mdundo tu acha ujinga kwan anafundisha timu yako
Kama kweli lampard ndio tegemeo Lenu ,basi soon hii team inaenda kuwa mid table team ...

Lampard ni average kocha ambaye hana maajabu yeyote ,mbinu ,wala falsafa zake zote ni useless,hajawahi saidia timu yeyote katika wakati mgumu .......

Kama Everton inatimua kocha ,harafu team kama Chelsea ndio inamchukua ,inafikilisha Sana ...

Saizi inabidi muanza kufokea wamiliki Sasa ,....sikutegemea kama wamiliki wa Chelsea wanaidharau timu yao namna hii ,wanaona kama vile Chelsea ni kama burnely, southmptom,wolves ....
 
Lampard ana mechi ngapi akiwa coacher wa Chelsea? Hazifiki 15... zote. Tusahau UCL ila atatupeleka conference huko.. na new coach atakua ameandaliwa for long time
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom