Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Every coach is hired to be sackedHalafu anakula £60M kwa kuvunjiwa mkataba
Every coach is hired to be sackedHalafu anakula £60M kwa kuvunjiwa mkataba
I seeArteta ndani ya miezi 8 kama manager wa Arsenal, alikuwa ashachukua FA na Community Shield
My comment was a dig at yours when you wrote he is the most expensive manager. Hansi left without being sacked, same with Zidane, and Redknapp and FergusonEvery coach is hired to be sacked
Yote hayo mawili ni makosa ya BoehlyTuko hapa tulipo kwa sababu ya vitu viwili
i)Maamuzi ya Boehly mwanzon mwa msim. Kutaka kufanya mambo mengi kwa mkupuo, niliwah sema hapa why unafukuza kocha huku huna Mkurugenzi wa ufundi or wamichezo. Boehly maamuzi yake ya mwanzon ndionyametuathiri kwa namna moja au nyingine.
Okay sawa ukamfukuza Tuchel badala ya kuhire kocha mwenye uwezo kama wa tuchel o zaidi akaleta kocha wa level za chini huku akiwa hajawah kuprove chochote katika soka la uk.
ii)Uwezo wa potter na mbinu zake, 6 months na hakuna maendeleo yoyote, kufumbia macho ujinga na kutupa press conference utasema team ya mid table, tucheze vibaya yeye hatak kubeba mzigo ni the lads gave everything, kushindwa kuelewa somo la short term plan, hata kama ni meneja wa long term ila inabidi ushinde hizi short term kuprove kam wewe ni right man kwa ile kazi na si excuse za Arteta,Klop,Pep kuwa walipewa mda, je huo mda waliopewa unahisi hawakuonesha kitu ndani ya mda mfupi?
Lakini uliunga mkono hoja ya Tuchelewe kutimuliwaYote hayo mawili ni makosa ya Boehly
Kocha hatakiwi kuwa kwenye sehemu ya vision, vision ilitakiwa ibaki kwenye bodi. kocha ni employee akija atekeleze kama hataweza wekapembeni halafu ajiri mwingine. Potter katuonyesha hilo kuwa ni kujidanganya kumuweka kocha kuwa sehemu ya vision
£60M una uhakika lakini?Halafu anakula £60M kwa kuvunjiwa mkataba
Alichokifanya makosa mengi nafikiri atakuwa kajifunza sasaTuko hapa tulipo kwa sababu ya vitu viwili
i)Maamuzi ya Boehly mwanzon mwa msim. Kutaka kufanya mambo mengi kwa mkupuo, niliwah sema hapa why unafukuza kocha huku huna Mkurugenzi wa ufundi or wamichezo. Boehly maamuzi yake ya mwanzon ndionyametuathiri kwa namna moja au nyingine.
Okay sawa ukamfukuza Tuchel badala ya kuhire kocha mwenye uwezo kama wa tuchel o zaidi akaleta kocha wa level za chini huku akiwa hajawah kuprove chochote katika soka la uk.
ii)Uwezo wa potter na mbinu zake, 6 months na hakuna maendeleo yoyote, kufumbia macho ujinga na kutupa press conference utasema team ya mid table, tucheze vibaya yeye hatak kubeba mzigo ni the lads gave everything, kushindwa kuelewa somo la short term plan, hata kama ni meneja wa long term ila inabidi ushinde hizi short term kuprove kam wewe ni right man kwa ile kazi na si excuse za Arteta,Klop,Pep kuwa walipewa mda, je huo mda waliopewa unahisi hawakuonesha kitu ndani ya mda mfupi?
Killop mitano tena.Lakini uliunga mkono hoja ya Tuchelewe kutimuliwa
Ushameza P2 zako huko zinakufanya uione cheltako ni timu kubwaYani Tumbo lililombeba yule tahaira Potter limelaaniwa na popote atakapoenda huyu kocha hatofanikiwa. Amekuja kuifanya klabu kama sehemu ya majaribio wakati sisi tunataka makombe tu

Nasikia Leicester wanamchukuaYani Tumbo lililombeba yule tahaira Potter limelaaniwa na popote atakapoenda huyu kocha hatofanikiwa. Amekuja kuifanya klabu kama sehemu ya majaribio wakati sisi tunataka makombe tu
Kuna chura anamshangilia Pochettino.
Mwingine anakuambia wanahitaji kocha mwenye big club experience ila anakutajia Amorim.
Dafuq
[/QUOTE
Pochettino hamna ,aisee tunahitaji elite coach wakubeba vikombe ,
Luis Enrique au Hans Flick ikishindikana basi ndio hao akina pochettino wafikiriwe
Haibadilishi ukweli kwamba managers are hired to be firedMy comment was a dig at yours when you wrote he is the most expensive manager. Hansi left without being sacked, same with Zidane, and Redknapp and Ferguson
I think you over under stood my statement. Hakuna point of arguing so mi naishia hapohapo.My comment was a dig at yours when you wrote he is the most expensive manager. Hansi left without being sacked, same with Zidane, and Redknapp and Ferguson
Umeona lakini mitakataka yenu iliyokaza fuvu kutomrudisha Tuchelewe na kumshangilia Profesa PotatoKillop mitano tena.