Team ya kipumbafu sana. Toa harvetz, piga risasi kabisa halafu aingie Diego CostaToa Felix ingiza Nicholas Anelka
Naomba unitumie link ya game ya leoN
Ndio ,links kibao tena quality fresh ,kuna accounts kibao zinarusha mechi live na mb consumption kidogo sana
Follow hiyo account ,almost kila mechi huwa wanarusha live stream ,Hadi ligi ya Ujerumani huko na Spain
Nyingine hiyo hapoFollow hiyo account ,almost kila mechi huwa wanarusha live stream ,Hadi ligi ya Ujerumani huko na Spain
Hii timu hiiDah Mateo anakosa chance nyingine
Umeeiga kwa UJUGU HAPANi vita kati ya Abdallah na Dulla!![]()