hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,438
- 27,010
Ila wewe jamaa unanichekeshaga Sana kusema kweli
Umechukua nafasi ya yule Carasco Putin
Ila wewe jamaa unanichekeshaga Sana kusema kweli
Huyo msimu ujaoProcess imesitishwa bado Yule kanjanja jasusi la ajax pale MANCHESTER United
Conte mtapoteana zaidi,Walete coach wa maana sasa hivi ,wasilete usennge tena akina Todd , kun Neagelsman ,Conte ,Zidane NK ,wote hawana kazi na ni makocha wazuri
I wish this to be true I will have a nice and joyble sleep.......huyu mtu ana tunyima raha ya mpiraGood NEWS......HERE WE GOOOOView attachment 2574428
Huyo yupo sana pale OT.Process imesitishwa bado Yule kanjanja jasusi la ajax pale MANCHESTER United

