Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maamuzi mazuri kumtimua potato ila yamefanywa wakati mbaya (bad timing) ukizingatia tuna game ya UEFA kesho kutwa na hatujui huyo atakaekuja atakuwa na falasafa gani
Anyway acha tuwe wapole
 
1680464316874.png
 
Maamuzi mazuri kumtimua potato ila yamefanywa wakati mbaya (bad timing) ukizingatia tuna game ya UEFA kesho kutwa na hatujui huyo atakaekuja atakuwa na falasafa gani
Anyway acha tuwe wapole
Hataajiriwa kocha hadi msimu uishe Bruno Saltor atabeba majukumu hadi msimu uishe
Kazi imeisha, huyo kashawaumiza wengi na hatujui waliolazwa mahospitalini ni wangapi na walikufa ni wangapi
Yeye hajali utadhani anaigiza filamu
 
Ngoja nikuulize, hivi huyu huyu Potter tunayemponda, mbona alikuwa nafanya vizuri na Brighton? wengine wakasema alikuwa natembelea mwamvuli wa wachezaji bora. Sasa kama wachezaji wetu ni bora kwa nini Potter asiendelee kutembelea mwamvuli wa wachezaji bora?
Lampard na ubovu wake alitembelea mwamvuli wa wachezaji bora Chelsea ikamaliza top 4
Kwa nini Potter yeye asitembelee huo mwamvuli wa wachezaji bora wa Chelsea timu ikafanya vizuri zaidi ya hapa ilipo?
Kipi alichokifanya Brighton??? Mpaka tuseme alikuwa vizuri, zaidi ya kucheza vizuri tu.

Angalia sasa Brighton wako semi final FA Cup kitu ambacho Potter alishindwa. DE ZERBI kawaimprove Brighton kuliko hata wakat wa Potter.

Hakuna maajabu potter aliyoyafanya Brighton zaidi ya kucheza vizuri tu ila matokeo anayoyapata sasa ndio yale yale alikuwa anayapata Brighton
 
Hataajiriwa kocha hadi msimu uishe Bruno Saltor atabeba majukumu ahdi msimu uishe
Kazi imeisha, huyo kashawaumiza wengi na hatujui waliolazwa mahospitalini ni wangapi na walikufa ni wangapi
Yeye hajali utadhani anaigiza filamu
Tatizo la tajiri miluzi kiburi kingi ukizingatia kwa sasa damage ishakuwa kubwa hv ndo wanafanya maamuzi
 
Kipi alichokifanya Brighton??? Mpaka tuseme alikuwa vizuri, zaidi ya kucheza vizuri tu.

Angalia sasa Brighton wako semi final FA Cup kitu ambacho Potter alishindwa. DE ZERBI kawaimprove Brighton kuliko hata wakat wa Potter.

Hakuna maajabu potter aliyoyafanya Brighton zaidi ya kucheza vizuri tu ila matokeo anayoyapata sasa ndio yale yale alikuwa anayapata Brighton
Jibu baada ya kuelewa pointi yangu

Wazo langu la msingi sio kafanya vizuri bali Brighton ilifanya vizuri ilifika hado top of the table huko nyuma hawakuwahi kufanya hivyo
Pia nikaongeza mfano wa Lampard Chelsea ilimaliza top 4
Wazo langu kama hata kama kosa ni la kocha wachezaji na ubora wao wamechangia nini hadi timu inafika nafasi ya 11
Kama ni wachezaji bora si wangefunika madhaifu ya kocha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom