verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,173
- 6,312
Tunasimama na Chuck Norris [emoji1478]Good luck chama langu I hope tutashinda [emoji170][emoji170][emoji170]
Tunasimama na Chuck Norris [emoji1478]Good luck chama langu I hope tutashinda [emoji170][emoji170][emoji170]
Madrid Wana struggle Sana , UCL ni mech za kimkakati , Ukiwaangalia Liverpool wanavyocheza muda huu utajua kwann walipigwa 5 na MadridHii Madrid hata wajipange wenyewe halafu bench akae hata Nacho kwa Chelsea hii ya Potter tunatoka kwa tofauti ya magoli mengi tu. Tunajitahidi kuishangilia Chelsea kwa sababu ndio ishakua ila huyu kocha anakata moto kabisa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mitano tena kwa Chuck Norris [emoji1478]View attachment 2546205
We jamaa comment zako kama hizi huwa zinanifurahishaga sana, cjui kwa nn!Oyaa tunacheza na Nani? Na tunaongoza ngapi?
🤣🤣🤣🤣We jamaa comment zako kama hizi huwa zinanifurahishaga sana, cjui kwa nn!
Mzee wa livescore huyoo🤣🤣We jamaa comment zako kama hizi huwa zinanifurahishaga sana, cjui kwa nn!
Jamaa huwa miyeyusho sana,hahahaha OLLA UNGA LTD🤣🤣🤣🤣