Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani kibabe, bingwa wa dunia anapita.
Potter mitano tena
20230108_224807.jpg
 
Team inaanza kuclick kwa Mara ya kwanza nitoe pongezi kwa Potter amefanya tactical change sahihi kwa wakati sahihi kwenye kipindi Cha pili baada ya kuona tumezidiwa pale Kati kamuingiza Gallagher pale aliua game kabisa kwasababu akaongeza mtu anayepress nakufanya tuwe midfielders watatu ndipo game ikawa yetu.

✓Enzo dah tumepata mtu aisee magoal mawili yamepitia kwake good performance 🔥 ni aina ya mchezaji tulikosa muda mrefu wa kufunga defensive ya opponent na kinachonivutia kwake ni mtu wakupiga forward passess

✓koulibaly,Fofana, Cucurella wamecheza vizuri Sana hata alivyoingia bachishile naye akakiwasha good job

✓Kai anaanza kukomaa Sasa 🔥

NB: Naona sasa team imekaa sawa namna tunavyoshambulia superb na namna tunavyodefense wooh Potter amepata team anayoitaka.Conglatulations to all chelsea fans
 
Yes, timu inaanza kuonana hasa kule mbele ila bado hatuchezi kibingwa
Cucu bado, hajitambua, kaba zake za kubahatisha, akienda mbele ndio anakuwa disaster, kuna v aliipiga kipofu angekuwa Chilwel tungekuwa na goli la nne
Leo ingekuwa timu inayojua kutumia fursa tungefungwa kwa makosa ya mabeki
 
✓Enzo dah tumepata mtu aisee magoal mawili yamepitia kwake good performance ni aina ya mchezaji tulikosa muda mrefu wa kufunga defensive ya opponent na kinachonivutia kwake ni mtu wakupiga forward passess

✓koulibaly,Fofana, Cucurella wamecheza vizuri Sana hata alivyoingia bachishile naye akakiwasha good job

✓Kai anaanza kukomaa Sasa

NB: Naona sasa team imekaa sawa namna tunavyoshambulia superb na namna tunavyodefense wooh Potter amepata team anayoitaka.Conglatulations to all chelsea fans
kiukwely ile hari inaanza kurudi taratibu ukiangalia kila mchezaji anajituma na timu inapata matokeo yan kk na cucurela utasema sio wale yan wanaperfom kwenye level yao fofana sina mashaka nae uyu dogo lilikua ni suala la mda kiungo cha kati akirud na kante pale
mbele pale mikhailo anaanza kujipata taratibu sina shaka nae ila improvment ya havertz
 
Naomba tusiwe wanafiki wala tusipumbazwe na huu ushindi. Havertz na Potter ni matakataka tu hawafai kuwa pale Chelsea. Yaani timu inapelekewa moto na wale vibonde kweli!
penye ukwely usemwe ao vibonde walimkanda tot bao 5 sisi tumewapga nyumban kwao usitake udominate kila kitu unapokuwa nyumbani kwa mtu
 
Naomba tusiwe wanafiki wala tusipumbazwe na huu ushindi. Havertz na Potter ni matakataka tu hawafai kuwa pale Chelsea. Yaani timu inapelekewa moto na wale vibonde kweli!
Kuna watu wanajisahaulisha na haya matakataka. Timu inajiendesha yenyewe hii hakuna kocha hapa, kai anapoteza mipira kizembe kocha anatoa macho tu hana ubavu wa kuwakalipia wachezaji. Maajabu huwa ni kwenye sub za kocha sasa huwa ni full gamble
 
Yes, timu inaanza kuonana hasa kule mbele ila bado hatuchezi kibingwa
Cucu bado, hajitambua, kaba zake za kubahatisha, akienda mbele ndio anakuwa disaster, kuna v aliipiga kipofu angekuwa Chilwel tungekuwa na goli la nne
Leo ingekuwa timu inayojua kutumia fursa tungefungwa kwa makosa ya mabeki
Cucurella kacheza vizuri Sana mkuu acha kumuonea ebu angalia takwimu zake za leo vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom