Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kabisa Asepimbi, nawatakia kila la heri mechi yenu ya leo mshinde mjiweke vizuri kuchukua ubingwa lakini usisahau unazurura kwenye anga za Mabingwa wa klabu BINGWA YA DUNIA, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA SUPER CUP ambapo we huna kombe lolote kati ya hayo.

Ficha upumbavu wako unapozurura kwetu vidume Chelsea FC

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ume loose battle sasa unakimbilia kwenye makombe, nani ni mpumbavu hapo.
 
Hapa ilifaa Chilwel aingie awe na mudryk
20230211_191621.jpg
 
Hakuna kitu kama hicho
Hizi media njaa huwa zinaingia sehemu yenye tatizo na kutengeneza habari inayoendana na context husika

Wambea wa mtaani
Wakisikia bwana fulani wana misunderstanding na mke wake wataweka kwenye headline .... kutalikiana na mke wake
Hata huku kwetu wee soma headline za magazeti halafu neda soma habari husika, ndio maana mimi tangu zamani niumeachaga kununua magazeti

Zipo headline nyingi zinamtaja Enrique kuja kumreeplace GP ila ni za uongo

Zidhani hata kama a akina Boehly walishafikria hilo suala

Wao walishaweka standard zao
Hata timu isipomaliza top 4
Hata timu isipobeba vikombe
Angalau kwenye UEFA ifike mbali

Potter atakuwepo

Changamoto ya Potter itakuwepo msimu ujao
Oya mazee unazi pembeni , hatutoboi ng'o na huyu kilaza porter ,never
 
Tatizo lake sio Mudryk, hata akkibaki na goli atawaza kumtafuta Silva, Badiashile au Kepa. Pumbavu sana huyu
Halafu kununuliwa pound ,65 ,shenzy ,bora tungenunua Ake mchezaji wetu wa zamani kwa 40 atoest ilikuwa reasonable
 
Kuku ndio alizubaa alikuwa na uwezo wa kuruka ili kuokoa
Tunavyo zingua hivi ,tunaweza pata tabu na kudhalilika sana tukicheza na watu hatari kama Dortmund ,sipati picha hiyo Champions league tutakutana na dhahama ipi aisee
 
Ila Chelsea watumishi hewa ni wengi aisee Pullisic naye bado yuko nje ,
Ila huyu dogo madueke ni baller nikiangalia anavyo control mpira na kuingia kupiga mashoot nafarijika sana Enzo ,Felix , Fofana , Madueke ,Murdyk Hawa watoto hii ni future ya Chelsea ,wanatakiwa walindwe na kupewa service ya maana washindi na kurudisha heshima kwa hii timu aisee
 
Shida ni kumpata Kocha mwingine ambaye ataiweka sawa Chelsea FC, wazoeane na kuelewa falsafa zake.

Ni kipande cha muda wala si rahisi kihivyo

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Enrique aje bana ,makocha wa kiingereza ni wa midtable teams zisizo na mashindano mengi wala pressure ya matokeo , poor us
 
Umemsahau na kuku wa lela.
Kenge ni kenge tu, nawasubiri wanangu Brentford wawashikishe arsepimbi ukuta wa London.
Kwani hata wakishikiliwa ninyi mtafaidia nini, timu zote zimechoka naona ile Hang'over ya December imehamia February
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom