lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,481
Manure wako kila sehemu, wabaya wakubwa wa Chelsea. Hata VAR hawakuicheki kwa msisitizoHata bila kuchambuliwa ile siku yoyote ile, ile ni penalt.
Saa nyingine unajiuliza ile VAR waliletaga kwa ajili ya nani na nini?
hapo kama n modric au kina fabregas tiyari assist