juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Mount sio mara ya kwanza anafanya hivi.Inawezekana ikawa ni ngumu na tofauti tunavyoona ...pia inategemea na mchezaji pia[emoji23] hapo kama n modric au kina fabregas tiyari assist
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Naamini kwa pale kama Mudryk/Felix/James ile pale ni assist.
Ila assist ya Enzo, Mount angejarib kushoot au sideway pass[emoji24][emoji24]