Ni kweli kabisa kama ulivyozoea kujinyea wewe Arsepimbi [emoji16]Unajinyea wewe amka kitandani
Siku hizi hushabikii tena Mwantesa Utd umebakia kuwa mpiga ramli [emoji28]
Mpira ulikuwa unakwenda golini mkono ukapindisha labda hii sasa ni netballhakuna Penati pale acha urongo,baneni pumbu fungeni Magoli halali kama mna ubavu
Unategemea Mount, galagher,Ziyech wakishaingia unadhan kutakuwa na threat yoyote + Havertz uwepo wake[emoji23][emoji23]Naona wanaojitahidi hapa ni Westham tu
Chelsea sisi tumeridhika kabisa
Penati ni ya wazi kabisaTumenyinwa penalti ya wazi kabisa
Nimekiona hichi kitu mpk nikajiuliza wana bifu au!Cucu utasema yuko allergic na kumpassia Mudryk
Kombe la klabu bingwa ya dunia tumechukua mwaka jana tu 2022 January, tuachieni kwanza tupumzike maana kama si uzembe kusheherekea ubingwa basi ni kutegeana [emoji847]Mna bahati "kubwa jinga la wiki" atakuwa Arsenal ila nafurahi sana kuona mkiendelea kuteseka. [emoji23][emoji23][emoji23]
Edited photos, hizi ni akili za kitoto sana [emoji4]Kumbukeni kuwai kesho kwenye maombi pasipo Mungu hamuwezi kitu.[emoji16][emoji16]View attachment 2513779
Umemsahau na kuku wa lela.Unategemea Mount, galagher wakishaingia unadhan kutakuwa na threat yoyote[emoji23][emoji23]
HP tumpe mechi ngapi hivi huenda akabadilika? [emoji3]Katika zile failed business kwanza kulikua na Pulisic na Ziyech sasa naongeza wawili ambao ni Cucurella na Potter pamoja na genge lake linaloitwa bench ufundi
Nilikwambia hapa mapema ushindi hakunaNaona wanaojitahidi hapa ni Westham tu
Chelsea sisi tumeridhika kabisa
Cucu zile match za mwanzo na tuchel alikuwa Bonge la mchezaji.Siku ya kwanza kumuona Cucurela anacheza THE BLUES nilisema huyu mchezaji
Anacheza kama ameliwa funza miguuni halafu mwoga sana.
Mkasema tumpe Muda.
Leo naona mnamponda.
Bahati nzuri siangalii mechi endeleeni kuteseka naye