Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cucurella anamfanya Mudryk aonekane kama hafai, vile.

Muweke Chilwel/Hall acheze na Mudryk.

Mara zote Mudryk alizokuwa na mpira alikuwa anaoneka hatar ila cha ajabu Mr Cucurela yeye utasema kama vile akitoa pass kwa Mudryk atauliwa.
Akili ya Cucurella mda wote iko kujilinda kuliko kushambulia

Havertz Havertz n potter utasema kama hamuoni vile watatoka wengine ila sio Havertz.

Game yetu iliisha baada ya zile sub
 
Hasira hazisaidii. Enjoy maumivu!
Kabisa Asepimbi, nawatakia kila la heri mechi yenu ya leo mshinde mjiweke vizuri kuchukua ubingwa lakini usisahau unazurura kwenye anga za Mabingwa wa klabu BINGWA YA DUNIA, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA SUPER CUP ambapo we huna kombe lolote kati ya hayo.

Ficha upumbavu wako unapozurura kwetu vidume Chelsea FC

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom