Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huna heshima hata kidogo, Conte mmemshindwa kabisa unakuja kuleta mpira mbovu hapa wenye kuboa
Una judge kocha Kwa matokeo ya siku moja ....Kwa hiyo yule kocha wa Everton anamzidi tactics arteta Kwa Vila alimfunga jumamosi .....peleka utopolo wako hukoo

Game ya spurs hata conte hakuwa kwenye touchline ...

Mallorca kamfunga Madrid juzi Kwa hiyo Carlo hana mbinu ?
 
Wewe ni mjinga una judge kocha Kwa matokeo ya siku moja ....Kwa hiyo yule kocha wa Everton anamzidi tactics arteta Kwa Vila alimfunga jumamosi .....peleka utopolo wako hukoo

Game ya spurs hata conte hakuwa kwenye touchline ...

Mallorca kamfunga Madrid juzi Kwa hiyo Carlo hana mbinu ?
Ni mechi ngapi mmecheza na Conte? tangu akiwa Cherlsea na sasa Spurs

Halafu wanaume tunazungumzia Conte vs PEP wewe unaleta habari za Malorca na Real Madrid ina uhusiano gani na ninyi kudundwa na Conte. Jadili mada kama mwanume aliyekomaa akili
 
Fool and rubbish
Ni mechi ngapi mmecheza na Conte? tangu akiwa Cherlsea na sasa Spurs

Halafu wanaume tunazungumzia Conte vs PEP wewe unaleta habari za Malorca na Real Madrid ina uhusiano gani na ninyi kudundwa na Conte. Jadili mada kama mwanume aliyekomaa akili
Yaan unalinganisha utopolo conte na the Golden pep gardiola......wewe ni mpumbavu kiwango cha stg [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
1675919120218.png
 
Reec James angeweza kuongeza dribling capacity kama aliyo nayo dada yake Lauren, tungekuwa na RB hatari Chelsea
Lauren nilijua ni mzuri lakini sikujua kuwa ni mzuri sana kwenye dribling hadi baadhi ya wakerektwa wa soka kule twitter wansema Lauren ni mzuri kuliko Darwin Nunez wa Liverpool
 
If I am going to be honest with you about Andrey Santos, in my own humble opinion without being sentimental of course, without offending anyone who thinks differently from my own point of view, but also by looking into this matter in distinctive perspective way, I would like to say that, i have nothing to say😀😀😀

Focvh79XEAAnHcI
 
[emoji724]They signed wonder kid werner [emoji3544]flop
[emoji724]They signed a world class Lukaku [emoji3544]flop
[emoji724]They signed world class morata [emoji3544]flop
[emoji724]They signed wonder kid Joao Félix [emoji837] red card
[emoji724]They signed cuculuku cook dat ting [emoji3544]flop
[emoji724]They signed amazing Aubameyang [emoji3544]flop
[emoji724]They signed Garaham Potter [emoji3544] i can't
speak if i speak I'm in big trouble [emoji851]
[emoji724]They signed my nyash boy sterling [emoji3544]flop
[emoji724]They signed Caicedo [emoji3544] in their feelings
[emoji724]They signed Frank Lampard [emoji3544] only God knows
Sky is blue [emoji838] blue is flop[emoji724] flops are cowboys [emoji152][emoji1783] cowboys are rent boys [emoji838] rent boys are Chel-sea and sea is blue [emoji305]
[emoji732][emoji724]They signed wonder kid Enzo Fernandez [emoji3544] should i tell you everything [emoji1787]
 
Hivi hizi habar Enrique anatakiwa zina ukweli?cc Lembu
Hakuna kitu kama hicho
Hizi media njaa huwa zinaingia sehemu yenye tatizo na kutengeneza habari inayoendana na context husika

Wambea wa mtaani
Wakisikia bwana fulani wana misunderstanding na mke wake wataweka kwenye headline .... kutalikiana na mke wake
Hata huku kwetu wee soma headline za magazeti halafu neda soma habari husika, ndio maana mimi tangu zamani niumeachaga kununua magazeti

Zipo headline nyingi zinamtaja Enrique kuja kumreeplace GP ila ni za uongo

Zidhani hata kama a akina Boehly walishafikria hilo suala

Wao walishaweka standard zao
Hata timu isipomaliza top 4
Hata timu isipobeba vikombe
Angalau kwenye UEFA ifike mbali

Potter atakuwepo

Changamoto ya Potter itakuwepo msimu ujao
 
My preferred line up vs West ham tomorrow

4-2-3-1

------------------Datro Fofana----------------------

Mudryk ----------------Felix----------------Madueke

----------- Enzo ----------------- Denis--------------

Chilwell ------- Badiashile-------- Silva -------- James

----------------------Kepa ------------------------
 
Sterling picked up a knock during training.
Zimwi la majeruhi bado linatuandama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom