Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
1–1




Nenda page ya Chelsea Instagam kuna video wamepost caption imeandikwa battle of Fofana's ukimaliza urudi kunipa majibu
Anamfanya mudryk aonekane kapoa, hampi option kama james anazompa MaduekeHuyu Kuku akipata mpira anawaza kurudi nyuma tu
Cucurela tutamuuza kwenye usajili mkuu kisha tutanunua beki mahiri maana hatuna mawazo kwa pesa tulizonazo.Cucurela mlipigwa mchana kweupe !
Tatizo lake sio Mudryk, hata akkibaki na goli atawaza kumtafuta Silva, Badiashile au Kepa. Pumbavu sana huyuCucu utasema yuko allergic na kumpassia Mudryk
Ebu ingia google andika "official link to match day of Chelsea Vs West Harm"Jamni mwenye link Niko mbali na game
Muliona Man City anafaidi nyie mkawa na paparaCucurela tutamuuza kwenye usajili mkuu kisha tutanunua beki mahiri maana hatuna mawazo kwa pesa tulizonazo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa mchezaji hakucheza tangu November 2022 afu unajitekenya na kucheka mwenyewe kweli?Arsenal were lucky not take Murdryk, not sure if he would have featured in the first eleven. He is an average player

Eti kila muda Cucurela linarudisha tu mipira nyuma khaaahCucu utasema yuko allergic na kumpassia Mudryk
