juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Ili mudryk ainfluence game mda wote inabidi LB awe Chilwell or Hall, LB ambae anawaza kushambulia hapo ndio watu wataona mudryk vizur.
Mara zote alizokuwa na mpira alikuwa anahatar shida upande wake ule Cucu hakufanya mikimbio utasema alipigwa stop .
Ajifunze kwa James, madueke anapokuwa anampira unakuta tayar james ashatafuta nafas .