Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Problem is the coaching staff... hii hii team mpe Conte au Sarri uone
Usijaili usajili ujao tukisajili kiungo na striker tusisahau na kumsajili na kocha mpya
Natamani sana akina Boehly wangeanza kumtongoza Conte, huyu tu ndie atakeyleta matokeo mazuri kwa hiki kikosi
 
Nikikumbuka humu ndan kuna watu walikuwa wanampigia chapuo Potter nabaki naishiwa nguvu.

Tungeenda kwa Luis Enrique kwa project tuliyonao ni mtu sahihi.

Tunaweza kuwa na wachezaj wazuri ila wakakosa kocha, inanikumbusha wakat tuliokuwa na MaZaCa(Mata,Hazard,Oscar) kocha akawa Di mateo
Lengo la kumpigia chapuo ni ili aonyeshe uwezo wake. Sasa tunavyozidi kwenda na anaonyesha hawezi basi hakuna namna nyingine apigwe red tu. Mimi Luis simuamini sana zaidi ya Conte kwa sababu pale Spusr hana raha kwa sababu hapewi wachezaji anaowataka
 
Unaelezea wachezaj wenye majukum tofauti
Role ya kovacic ni kama ya McAllister aliyokuwa nayo Argentina.

Ili uone uwezo wa Enzo anahita kucheza na mtu mwenye quality sio umchezeshe na Galagher mchezaj ambae hana ufundi wowote mguuni ni kama una mlimit uwezo wale

Muweke Enzo na Caicedo kwenye double pivot ndio utajua hujui au Kovacic/Kante wa misim miwil iliyopita
Na hiyo double pivot ndie ameizoea sana kule Benefica
4-2-3-1
3-4-2-1
4-2-2-2
 
Majibu ya Potter kuhusu Mudryk kutolewa

Was Mykhailo Mudryk injured?

No, he's had a heavy cold all week. We thought 60 would be his maximum but he felt heavy-legged at half time. We're still building him up in terms of his minutes because of the break he has had in his season so we thought 45 was about right for him
 
Kuhusu Auba kuondolewa UEFA

How was Pierre when you told him? How difficult was it?

Yeah, it was difficult because I am empathetic so I understand his disappointment but I've got a responsibility to make these tough decisions and to articulate them as honestly and as well as I can to the player and then respect the fact that he's going to be disappointed. He's handled it very well, trained today fantastically which is what I would expect. He's been a top guy for us.
 
Mkuu naunga mkono hoja haswa ya uwezo wa kocha maana kaja na cheap notion kwamba anatengeneza timu kama kichaka alichokuwa anajifichia Lampard those days na mimi mwanzo nilikuwa naunga mkono.ni kweli kizuri kinahitaji muda sasa baada ya miezi 4 najaribu kuitafuta philosophy na pattern ya uchezaji ya mwalimu siioni yaani kocha gani hana identity ya uchezaji kwa mantiki hiyo huwezi kuwa na guts za kusema kwamba wachezaji fulani hawafai completely maana wanakosa muunganiko wa mawazo ya kiuchezaji. Kwa case ya Mount naona ni kama inayomkuta Trend Arnold ni wachezaji wazuri ila wametumika sana kwenye umri mdogo na haswa kwenye matumizi ya nguvu hiyo wanafatigue ya mwili na akili wanafaa tu kuwa na playing time ndogo kwa muda. Kingine, why timu haina madhara kabisa kwenye set pieces kona zinapigwa kama mpira wa shule ulioangukia barabarani alafu mpita njia anaupiga urudi uwanjani
"why timu haina madhara kabisa kwenye set pieces kona zinapigwa kama mpira wa shule ulioangukia barabarani alafu mpita njia anaupiga urudi uwanjani"
 
Chelsea tulidowngrade sana kumtoa tuchel na kwenda kwa potter.
Tungefaa twende kwa mtu mwenye uwezo sawa kama wa tuchel au zaid, Luis Enrique alikuwa ni best option kwetu au mwingine

Eddie Howe hakuhitaj 6 months ilinewcastle icheze vizuri, wachezaj walionekana wabaya walionekana wazur Joelinton alikuwa striker na alionekana hafai ila Ujio wa Eddie Howe pale newcastle akambadilisna akawa anamtumia kama LM. Na team ikaanza kuonekana patten yao ya uchezaj.

Ila ndugu yetu potter ana 5 months ila hakuna improvement yoyote inayoonekana.
Chelsea timu kubwa, usishangae huyo huyo Kocha wa Newcastle United ukimleta kwenye klabu ya Chelsea yakatokea yale yale ya Kocha Moyes aliyekuwa aking'aa sana akiwa Tottenham Hotspur lakini alipopelekwa tu kuinoa Man Utd alichemka balaa

Mzee Baba si kila Kocha bora ni kwaajili ya kuinoa timu kubwa halikadhalika si kila mchezaji mzuri ni kwaajili ya timu kubwa.

Rejea/References:

1. Coach Moyes from Everton to Man Utd.

2. Ross Barkley from Everton to Chelsea FC.
 
Chelsea timu kubwa, usishangae huyo huyo Kocha wa Newcastle United ukimleta kwenye klabu ya Chelsea yakatokea yale yale ya Kocha Moyes aliyekuwa aking'aa sana akiwa Tottenham Hotspur lakini alipopelekwa tu kuinoa Man Utd alichemka balaa

Mzee Baba si kila Kocha bora ni kwaajili ya kuinoa timu kubwa halikadhalika si kila mchezaji mzuri ni kwaajili ya timu kubwa.

Rejea/References:

1. Coach Moyes from Tottenham Hotspur to Man Utd.

2. Ross Barkley from Everton to Chelsea FC.
Mkuu Moyes alifundisha spurs ya wapi? Mngefungwa si ungesema Juma Mgunda alishafundisha Everton?
 
Pesa zetu afu uwashwewashwe wewe Shabiki kilaza toka Arsepimbi.

Nani alikushikia bunduki kukulazimisha kushabikia timu yenye Mabosi Wapare na Waha/wabahili kupita maelezo hadi uje uteseke na matumizi ya pesa za Wanaume wenzio huku Stamford Bridge?

Pambana na hali yako, shida zako hazituhusu wazoefu wa mapesa mingi mingi
 
Nyie ni yule mtoto anayependwa sana na wazazi wake,anapewa kila kitu anachotaka, vitabu vyote anavyo, lakini bado anapata masifuri shuleni.

Usajili wote huo mnashindwa kumfunga Fulham?
 
Jurgen Klopp and Pep Guardiola had their say on transfers, do you know how it works and what are the implications of not making Champions League?

Yeah, I do and I think you've got to look at all in terms of an investment, in terms of transfer fees and salaries. Sometimes you can sign a player for less of a transfer fee but the salaries are enormous. It just depends how you structure the contract, how you structure the deal. We're confident with what we're doing, I think the club has done a good job. Now my job is to improve the team.
 
Chelsea timu kubwa, usishangae huyo huyo Kocha wa Newcastle United ukimleta kwenye klabu ya Chelsea yakatokea yale yale ya Kocha Moyes aliyekuwa aking'aa sana akiwa Tottenham Hotspur lakini alipopelekwa tu kuinoa Man Utd alichemka balaa

Mzee Baba si kila Kocha bora ni kwaajili ya kuinoa timu kubwa halikadhalika si kila mchezaji mzuri ni kwaajili ya timu kubwa.

Rejea/References:

1. Coach Moyes from Tottenham Hotspur to Man Utd.

2. Ross Barkley from Everton to Chelsea FC.
Moyes alikusanya sifa alipokuwa kocha wa Everton na akina Lukaku
 
Tuweke ushabiki pembeni

Enzo ni mchezaji wa kawaida sana kama akina Kova na wengineo, hata wakati wa kumnunua tulijua hilo
Tofauti yake ndogo tu ambayo ndio inamake a deference ni
  1. kufanya tackles, yeye jana ndie aliongoza kwenye mechi yote including Fulam
  2. Pili ana uwezo wa kuwaona washambuliaji walivyojiposition na kuwapa mipira mizuri, iwe through balls au long balls
Hivyo vitu viwili akina Kova hawana na ndio kilio chetu Chelsea. Kama jana ulimfuatilia utakubaliana nami hapo juu
Enzo anashoot kutokea mbali kitu ambacho mid zetu hazina.
 
Unaelezea wachezaj wenye majukum tofauti
Role ya kovacic ni kama ya McAllister aliyokuwa nayo Argentina.

Ili uone uwezo wa Enzo anahita kucheza na mtu mwenye quality sio umchezeshe na Galagher mchezaj ambae hana ufundi wowote mguuni ni kama una mlimit uwezo wale

Muweke Enzo na Caicedo kwenye double pivot ndio utajua hujui au Kovacic/Kante wa misim miwil iliyopita
Subiri Ngolo Kante apone acheze na Enzo kwenye Double pivot ndio utaujua moto wake.
 
Mkuu Moyes alifundisha spurs ya wapi? Mngefungwa si ungesema Juma Mgunda alishafundisha Everton?
Asante kwa kunikumbusha Chifu, madishi yetu wakati mwingine huchemka kwa kurundika vitu vingi sana na kuvichambua papo kwa hapo.

Au hujawahi kutafuta pesa ukijisachi kila mahali ilihali umeishika mkononi

"Mgunda" wanakuja Makolokolo malizana nao mwenyewe mi simo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom