Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kupanga kikosi ni jambo moja

Kikosi kucheza kwa mfumo, mbinu na style za uchezaji kumzidi mpinzani ni jambo lingine.

Pamoja na sajili tulizofanya leo nakiri kusema Potter anategemea UWEZO BINAFSI wa mchezaji mmoja mmoja ashinde mechi

Ukiangalia timu inavyocheza sioni mbinu za kocha, sioni patterns za uchezaji ambazo zinawafanya wachezaji watekeleze vyema uwezo na majukumu yao katika nafasi zao uwanjani.

Mi naona timu yetu inacheza aina ya soka linaloitwa CHANGANYIKENI uwanjani.

Sioni uwezo/mbinu za mwalimu katika uchezaji wa timu.

Timu inaweza isiwe na Wachezaji wenye uwezo mkubwa lakini wakacheza kimfumo na kimbinu zaidi wakashinda Mechi.

THE BLUES kwa sasa tuna wachezaji wakubwa/Uwezo mkubwa lakini mbinu za Kocha hakuna uwanjani.

Hata Potter anavyong'ang'ania kuwapanga Harvetz na Mount, tulitegemea wanapangwa kimbinu zaidi, mchango wao ukaonekana katika kupata matokeo, lakini tunaona kinyume chake wanacheza ovyo zaidi.

Na hapa Tunapiga kelele Jao Felix na Fofana waanze mbele ya Mount na Harvetz.

Je waanze kikosini kuonyesha uwezo wao binafsi uwanjani au watekeleze mbinu za mwalimu uwanjani kupelekea timu kupata matokeo?

MWISHO:- Binafsi naamini mafanikio ya uwezo binafsi wa mchezaji ndani ya Mfumo na mbinu bora za Kocha uwanjani

Potter asijifiche kwenye kivuli cha maingizo mapya ya wachezaji bali tunataka kuona wachezaji wakiingia kwenye mbinu zake.

Bila mfumo mzuri
Bila flow/Patten nzuri za uchezaji
Bila mbinu bora za Kocha

Hawa wakina Mudryk wataingia kwenye mtego ule ule SAME PLAYERS, SAME PROBLEMS.
Mimi ni mojawapo mkuu nisiemkubal kabsa huyu Bwa Pota
 
1675606850216.png
 
Binafsi naamini mafanikio ya uwezo binafsi wa mchezaji ndani ya Mfumo na mbinu bora za Kocha uwanjani

Bila mfumo mzuri
Bila flow/Patten nzuri za uchezaji
Bila mbinu bora za Kocha
Na mimi naamini juu ya hayo uliyosema,
Pia nawaamini akina Boehly kuwa ni wazuri wa kufanya maamuzi ya haraka na magumu pale inapohitajika
Tuendelee kuweka imani kwenye ujenzi huu
 
Huyo Mount auzwe tu, Waingereza wakikosa namba kwenye timu za England wanaanza figisu za chinichini

Sasa yeye anataka mshahara mkubwa wakati kiwango chenyewe cha manati.

Alafu ni bonge la selfish, anataka kung'aa yeye tu hivyo anaweza haribu move uwanjani ili mwenzie asi-shine.
 
Huyo Mount auzwe tu, Waingereza wakikosa namba kwenye timu za England wanaanza figisu za chinichini

Sasa yeye anataka mshahara mkubwa wakati kiwango chenyewe cha manati.

Alafu ni bonge la selfish, anataka kung'aa yeye tu hivyo anaweza haribu move uwanjani ili mwenzie asi-shine.
Wachaze wa kiingereza wana akili za hovyo sana yani huyu mount ni kirusi asiondoka bado tutaeendelea kustruggle tu
 
Hivi si kuna ile sheria ya FA kunatakiwa kuwe na idadi flani ya wachezaji wa kiingereza lazima wacheze kwenye kikosini?
Sio wenyeji direct, sheria haisemi wenyeji bali inatumia home grown
Home grown ni nani?

Home grown ni mchezaji ambaye amechezea timu yeyote inayocheza ligi inayosimamiwa na FA sio chini ya miaka 3 kabla hajafikisha miaka 21
Mfano mchezaji aliyesajiliwa akiwa na miaka 18 huyo ni home grown au kama amesajiliwa na timu yeyote inashiriki ligi inayosimamiwa na FA akiwa na miaka 18 na kuendelea kuichezea hiyo timu kwa mfululizo wa miaka 3 huyo ni home grown

Home grown nafikiri minimum ni 8 au sio zaidi ya non homegrown 17
Ukiwa na chini ya hapo itabidi squad nayo iwe chini ya 25 kulingana na homegrown ulionao. Yaani kama una home grown 5 kwenye timu basi squad yako itakuwa na wachezaji 22 rtc
 
Oky nimekupata, kwahiyo chief hakuna sheria inayolazimisha homegrown waanze 1st eleven au lazima wacheze kwenye kila mechi?
Hiyo sheria ni ya first team ya wachezaji 25, sheria haimlazimishi kocha acheze au awepo kwenye bench ila inalazimisha awepo kwenye first team
 
Hapo sawa.

Kwahiyo Potter kumngangania Mount 1st eleven kumbe ana lake jambo.

Mi nilidhani kuna sheria inayolazimisha mchezaji wa kiingereza lazima aanze 1st eleven.

Hii table inaonyesha home grown tulionao
Kumbuka kwamba sheria inalazimisha zaidi non homegrown wasizidi 17, so homegrown wakipungua inatakiwa wawe replaced na home grown tu au nafasi hiyo ibaki tupu
1675618747432.png
 
PEP Gardiola to Chelsea; Here we go!

Pep Guardiola discussed the investigation of @ManCity last year. "If they lie to me the day after, I am not here. I will be out, and I will not be their friend anymore. I put my faith in them because I believe them 100% from day one, I defend the club because of that." 7/5/22

Behdad Eghbali waiting outside Pep Guardiola's home

FoR4y2QXoAEjyF_

FoSIt3uXsAMgeVm
 
Chelsea and Los Angeles FC are negotiating for Pierre-Emerick Aubameyang. #CFC [@MatteMoretto]

FoSCiNWaUAAsObx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom