Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maoni yangu kuhusu mechi ya Jana.

Nimeona wengi wakilalamika kuhusu viwango vya mount, kai havert na Gallagher na wengine Ziyech, unapokuwa mchambuzi na mzoefu wa kuangalia mechi ni vizuri ukaangalia tatizo la msingi kwanza kabla ujaenda kwenye matokeo nilichoona Jana chelsea ilikosa identity ya uchezaji au kwa jina lingine tunasema pattern style of playing ikafanya chelsea itumie uwezo binafsi ya wachezaji kunapokosekana Muundo sahihi wa uchezaji utafanya hata baadhi ya wachezaji wasionekane hatari mfano mzuri ni Mudryk ule upande wake haukutumika kabisa mipira ilikuwa haifikii.

Tukija kwa hawa wachezaji wanaolalamikiwa kufanya vibaya tuanze Kai huyu jamaa ni bonge la mchezaji ila anachezeshwa sehemu isiyo sahihi hadi leo Kai namtazama kama mchezaji anayeweza kucheza kwenye no 10 ila sio striker sijui kwanini kocha halioni Hili? Mount katengeneza nafasi mbili za wazi Jana lakini watu wanamponda japo hatukuwa na Muundo mzuri wa uchezaji, Gallagher kajituma Sana lakini kuna sehemu anatakiwa awe improved na kocha hasa kwenye kwenye Technical ability, Ziyech japo kaathirika na Muundo mzima wa uchezaji wa jana lakini aliweza kutoa chance nzuri Sana kwa kai lakini haikutumiwa vizuri

NB: Tuna wachezaji wazuri Sana tumewasajili na wote wameonesha Wana kitu chakuoffer kwenye team hivi pata picha Enzo acheze na Kante au Kovacic pale Kati?
Binafsi naona solution ni kumfukuza kocha kabisa hakuna njia nyingine tofauti, Moja ya sababu kuu naona Potter hatufahi chelsea imekaa wiki mbili bila kucheza game yoyote Jana ndio wakaja kucheza unajiuliza hizo wiki mbili mbona ni nyingi walikuwa wanafanya nini? Kiasi ambacho unaona kabisa imecheza kama vile walikosa msimamizi mazoezini.

juan david
lembu
Covax
Cash Money Forever
Mengine yote yako sawa hapo kwa mount ni chance mmoja tu ndio aliotengeneza.

Ni miez 4-5 now ila hatuna pattern mpaka sasa ya uchezaji. Sawa anaweza kuwa amekosa pre season ila ni 4-5 months now na hatujui style yetu ya kiuchezaj.

Why unamkomalia havertz kama no 9 huku una fofana ambae dakika chachd anazocheza anaonyesha kabisa anakitu anahitaj hata awe anaanza.

Makocha wote waliopewa mda, ndani ya mda mfupi waliweza onyesha kitu walichonacho kama wakipewa mda ila kwa potter mpka sasa naona giza.

Boehly-Clearlake wanaweza kuwa na project nzuri ila kocha ndio akawaangusha.

Ngoja tuone hali itakavyokuwa ila Potter anatufanya tuwe na wasiwasi.
 
Maoni yangu kuhusu mechi ya Jana.

Nimeona wengi wakilalamika kuhusu viwango vya mount, kai havert na Gallagher na wengine Ziyech, unapokuwa mchambuzi na mzoefu wa kuangalia mechi ni vizuri ukaangalia tatizo la msingi kwanza kabla ujaenda kwenye matokeo nilichoona Jana chelsea ilikosa identity ya uchezaji au kwa jina lingine tunasema pattern style of playing ikafanya chelsea itumie uwezo binafsi ya wachezaji kunapokosekana Muundo sahihi wa uchezaji utafanya hata baadhi ya wachezaji wasionekane hatari mfano mzuri ni Mudryk ule upande wake haukutumika kabisa mipira ilikuwa haifikii.

Tukija kwa hawa wachezaji wanaolalamikiwa kufanya vibaya tuanze Kai huyu jamaa ni bonge la mchezaji ila anachezeshwa sehemu isiyo sahihi hadi leo Kai namtazama kama mchezaji anayeweza kucheza kwenye no 10 ila sio striker sijui kwanini kocha halioni Hili? Mount katengeneza nafasi mbili za wazi Jana lakini watu wanamponda japo hatukuwa na Muundo mzuri wa uchezaji, Gallagher kajituma Sana lakini kuna sehemu anatakiwa awe improved na kocha hasa kwenye kwenye Technical ability, Ziyech japo kaathirika na Muundo mzima wa uchezaji wa jana lakini aliweza kutoa chance nzuri Sana kwa kai lakini haikutumiwa vizuri

NB: Tuna wachezaji wazuri Sana tumewasajili na wote wameonesha Wana kitu chakuoffer kwenye team hivi pata picha Enzo acheze na Kante au Kovacic pale Kati?
Binafsi naona solution ni kumfukuza kocha kabisa hakuna njia nyingine tofauti, Moja ya sababu kuu naona Potter hatufahi chelsea imekaa wiki mbili bila kucheza game yoyote Jana ndio wakaja kucheza unajiuliza hizo wiki mbili mbona ni nyingi walikuwa wanafanya nini? Kiasi ambacho unaona kabisa imecheza kama vile walikosa msimamizi mazoezini.

juan david
lembu
Covax
Cash Money Forever
johsee
We jamaa siku zote huwa tunakuwa na mawazo sawa na mimi,Mtu anaingalia mechi huku ameshawaandaa wa kuwaalaumu,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
OK nakusamehe bure kwa sababu ninyi ni wale wa kuambia na kukimbilia kwenye mitandao kutapika
Ungeangalia hii mechi jana, usingeongea utumbo kama huu
Nimeangalia mechi yenu mwanzo hadi mwisho. Ni kweli Enzo ni bora kuliko viungo waliopo Chelsea lakini duh, sio kwa mlivyokua mkimuongelea. Sasa Enzo ana tofauti gani na Kovacic, tena Kovacic ana uwezo wa ku drive-in na yuko invasive zaidi kuliko Enzo.. Sehemu kubwa aliyomzidi Kovacic ni kwenye passing na hiyo sishangai kwa sababu Enzo anakaa chini sana hivyo anakua hana presha kubwa tofauti na Kovacic ambae ana take risk zaidi.. lakini watu kwa kumpamba sasa!😂😂
 
Maoni yangu kuhusu mechi ya Jana.

Nimeona wengi wakilalamika kuhusu viwango vya mount, kai havert na Gallagher na wengine Ziyech, unapokuwa mchambuzi na mzoefu wa kuangalia mechi ni vizuri ukaangalia tatizo la msingi kwanza kabla ujaenda kwenye matokeo nilichoona Jana chelsea ilikosa identity ya uchezaji au kwa jina lingine tunasema pattern style of playing ikafanya chelsea itumie uwezo binafsi ya wachezaji kunapokosekana Muundo sahihi wa uchezaji utafanya hata baadhi ya wachezaji wasionekane hatari mfano mzuri ni Mudryk ule upande wake haukutumika kabisa mipira ilikuwa haifikii.

Tukija kwa hawa wachezaji wanaolalamikiwa kufanya vibaya tuanze Kai huyu jamaa ni bonge la mchezaji ila anachezeshwa sehemu isiyo sahihi hadi leo Kai namtazama kama mchezaji anayeweza kucheza kwenye no 10 ila sio striker sijui kwanini kocha halioni Hili? Mount katengeneza nafasi mbili za wazi Jana lakini watu wanamponda japo hatukuwa na Muundo mzuri wa uchezaji, Gallagher kajituma Sana lakini kuna sehemu anatakiwa awe improved na kocha hasa kwenye kwenye Technical ability, Ziyech japo kaathirika na Muundo mzima wa uchezaji wa jana lakini aliweza kutoa chance nzuri Sana kwa kai lakini haikutumiwa vizuri

NB: Tuna wachezaji wazuri Sana tumewasajili na wote wameonesha Wana kitu chakuoffer kwenye team hivi pata picha Enzo acheze na Kante au Kovacic pale Kati?
Binafsi naona solution ni kumfukuza kocha kabisa hakuna njia nyingine tofauti, Moja ya sababu kuu naona Potter hatufahi chelsea imekaa wiki mbili bila kucheza game yoyote Jana ndio wakaja kucheza unajiuliza hizo wiki mbili mbona ni nyingi walikuwa wanafanya nini? Kiasi ambacho unaona kabisa imecheza kama vile walikosa msimamizi mazoezini.

juan david
lembu
Covax
Cash Money Forever
johsee
Kuna post jana niliongea hicho kitu, Kocha hana falsafa ya uchezaji tena wenye kuwademand wachezaji washinde mechi. tunacheza show game tu. Umeongea point kubwa ndg. Japo kwenye upande wa pili hata kama hiyo pattern hakuna bado hao wachezaji hawajitumi. Mabeki wetu jana walicheza vizuri isipokuwa Cucurela inaonekana uwezo wake ndio umeishia hapo
Galagher bado sana, jana kwanza alikuwa anacheza out of position, pili hajijui alikuwaanafanya nini, kaba yake, press yake haina akili kabisa nk
Mount ukiondoa ile pasi aliyokosa Havertz sikuona faida yake zaidi
Mimi nisingependa tena ZIyech, Mount, Havertz, Cucu, na Galagher waanze. Nafasi zao zichukuliwe na Madueke for Ziyech, Felix for Mount, Fofana fo Havertz, Chillwell au Hall for Cucurella, Kova au Denis for Galagher. Tumemaliza
Tatizo litakalobakia sasa ni hilo la identity
Fulama jana utawaona tu japo hawakukaa na mpira sana lakini walipress kuhakikisha Chelsea hawachezi game lao na kuwalazimisha kufanya makosa, gholini waliweka ukuta wa Berlin
 
Name: Mudryk
Hype: Cristiano Ronaldo
Expectation: Lionel Messi
Price tag: Neymar Jnr
Nickname: Next Hazard

Reality: Adama Traore mixed with Anthony flavoured and spiced with Cody Gakpo
🤣🤣🤣 Mkuu Hapa Ulitisha Sana kudadeki!
 
Maoni yangu kuhusu mechi ya Jana.

Nimeona wengi wakilalamika kuhusu viwango vya mount, kai havert na Gallagher na wengine Ziyech, unapokuwa mchambuzi na mzoefu wa kuangalia mechi ni vizuri ukaangalia tatizo la msingi kwanza kabla ujaenda kwenye matokeo nilichoona Jana chelsea ilikosa identity ya uchezaji au kwa jina lingine tunasema pattern style of playing ikafanya chelsea itumie uwezo binafsi ya wachezaji kunapokosekana Muundo sahihi wa uchezaji utafanya hata baadhi ya wachezaji wasionekane hatari mfano mzuri ni Mudryk ule upande wake haukutumika kabisa mipira ilikuwa haifikii.

Tukija kwa hawa wachezaji wanaolalamikiwa kufanya vibaya tuanze Kai huyu jamaa ni bonge la mchezaji ila anachezeshwa sehemu isiyo sahihi hadi leo Kai namtazama kama mchezaji anayeweza kucheza kwenye no 10 ila sio striker sijui kwanini kocha halioni Hili? Mount katengeneza nafasi mbili za wazi Jana lakini watu wanamponda japo hatukuwa na Muundo mzuri wa uchezaji, Gallagher kajituma Sana lakini kuna sehemu anatakiwa awe improved na kocha hasa kwenye kwenye Technical ability, Ziyech japo kaathirika na Muundo mzima wa uchezaji wa jana lakini aliweza kutoa chance nzuri Sana kwa kai lakini haikutumiwa vizuri

NB: Tuna wachezaji wazuri Sana tumewasajili na wote wameonesha Wana kitu chakuoffer kwenye team hivi pata picha Enzo acheze na Kante au Kovacic pale Kati?
Binafsi naona solution ni kumfukuza kocha kabisa hakuna njia nyingine tofauti, Moja ya sababu kuu naona Potter hatufahi chelsea imekaa wiki mbili bila kucheza game yoyote Jana ndio wakaja kucheza unajiuliza hizo wiki mbili mbona ni nyingi walikuwa wanafanya nini? Kiasi ambacho unaona kabisa imecheza kama vile walikosa msimamizi mazoezini.

juan david
lembu
Covax
Cash Money Forever
johsee
Nakuunga mkono bro kocha hana mbinu hata..
Team inacheza bila mipango kabisa hata formation huielew yani huyu coaher alikua overatted
 
Angalia gap lilopo kati ya Enzo na hao waliokuwa wamempartner kwenye mid(mount n Galagher).

Unajiuliza hawa 8s why wako high hivyo kibaya zaid wanaacha space katikat.

Naomba tu game ijayo kova arudi, nashkuru Felix kamaliza adhabu yake huyu mount awekwe bench sasa.
20230204_085256.jpg
 
Nimeangalia mechi yenu mwanzo hadi mwisho. Ni kweli Enzo ni bora kuliko viungo waliopo Chelsea lakini duh, sio kwa mlivyokua mkimuongelea. Sasa Enzo ana tofauti gani na Kovacic, tena Kovacic ana uwezo wa ku drive-in na yuko invasive zaidi kuliko Enzo.. Sehemu kubwa aliyomzidi Kovacic ni kwenye passing na hiyo sishangai kwa sababu Enzo anakaa chini sana hivyo anakua hana presha kubwa tofauti na Kovacic ambae ana take risk zaidi.. lakini watu kwa kumpamba sasa!😂😂
Tuweke ushabiki pembeni

Enzo ni mchezaji wa kawaida sana kama akina Kova na wengineo, hata wakati wa kumnunua tulijua hilo
Tofauti yake ndogo tu ambayo ndio inamake a deference ni
  1. kufanya tackles, yeye jana ndie aliongoza kwenye mechi yote including Fulam
  2. Pili ana uwezo wa kuwaona washambuliaji walivyojiposition na kuwapa mipira mizuri, iwe through balls au long balls
Hivyo vitu viwili akina Kova hawana na ndio kilio chetu Chelsea. Kama jana ulimfuatilia utakubaliana nami hapo juu
 
Nikikumbuka humu ndan kuna watu walikuwa wanampigia chapuo Potter nabaki naishiwa nguvu.

Tungeenda kwa Luis Enrique kwa project tuliyonao ni mtu sahihi.

Tunaweza kuwa na wachezaj wazuri ila wakakosa kocha, inanikumbusha wakat tuliokuwa na MaZaCa(Mata,Hazard,Oscar) kocha akawa Di mateo
 
Mpeni muda Potter.

Kocha amekuja amekuta Wachezaji 5 ni wapya hawana hata miezi miwili.
Na kakuta mchezaji anaestahili kuwa kikosi cha Kwanza ni Tiago pekee, labda na Kipa.

Hajakaa sawa mmeongeza wachezaji 7 kikosini (January.)

Mpeni muda, awajue vizuri wachezaji wake, wachezaji wajuane.

Ideally, apewe msimu huu+ Preseason, muone itakuwaje.
Kumfukuza labda hali iwe mbaya beyond repair.
 
Angalia gap lilopo kati ya Enzo na hao waliokuwa wamempartner kwenye mid(mount n Galagher).

Unajiuliza hawa 8s why wako high hivyo kibaya zaid wanaacha space katikat.

Naomba tu game ijayo kova arudi, nashkuru Felix kamaliza adhabu yake huyu mount awekwe bench sasa.View attachment 2505615
Yaani hao wawili walicheza out of position ni bahati nzuri tu zile counter za Fulam hazikuzaa magoli
Mount jana aliche kama CAM, kwa position hiyo alitakiwa awe na mawasiliano mazuri na Enzo na pia kuthibiti eneo la katikati kwa kwenda mbele. Galagher alicheza kama Pivot wa pili kwenye midfield, na hivyo yeye na Enzo walitakiwa kulithibiti eneo la katikati ya uwanja. Ilibidi wakati mwingine Enzo ajifanye beki kuokoa kwa sababu kaachwa mwenyewe. Pale ndiopo pamoaj na uboivu wake Jorginho anaonekan wa maana
Mount awahi nafasi tu kule Liver na Galagher auzwe na kama ubishoo wake ndio huo
 
Tuweke ushabiki pembeni

Enzo ni mchezaji wa kawaida sana kama akina Kova na wengineo, hata wakati wa kumnunua tulijua hilo
Tofauti yake ndogo tu ambayo ndio inamake a deference ni
  1. kufanya tackles, yeye jana ndie aliongoza kwenye mechi yote including Fulam
  2. Pili ana uwezo wa kuwaona washambuliaji walivyojiposition na kuwapa mipira mizuri, iwe through balls au long balls
Hivyo vitu viwili akina Kova hawana na ndio kilio chetu Chelsea. Kama jana ulimfuatilia utakubaliana nami hapo juu
ENZO amekuwa wa kawaida sana tena khaaa!!!kubalini hamna timu mmejaza matakataka
 
Nitakuwa nikiweka baadhi ya hisia za mashabiki hapa ili tupate BIG picture

Enzo did fantastic as a central midfielder , but bad lineups won't help new signings! What's the point of having Enzo put good passes if you don't put a striker on the field?!
 
Ziyech and Gallagher starting was inexcusable. Cucu and Havertz should have been subbed off much earlier too.
 
Nimeangalia mechi yenu mwanzo hadi mwisho. Ni kweli Enzo ni bora kuliko viungo waliopo Chelsea lakini duh, sio kwa mlivyokua mkimuongelea. Sasa Enzo ana tofauti gani na Kovacic, tena Kovacic ana uwezo wa ku drive-in na yuko invasive zaidi kuliko Enzo.. Sehemu kubwa aliyomzidi Kovacic ni kwenye passing na hiyo sishangai kwa sababu Enzo anakaa chini sana hivyo anakua hana presha kubwa tofauti na Kovacic ambae ana take risk zaidi.. lakini watu kwa kumpamba sasa!
Mimi si Shabiki wa Chelsea .
Ila sidhani mechi ya jana, ni kipimo cha kumjua Enzo ni mchezaji wa namna gani.

Mechi ya Kwanza, Ligi mpya,Nchi ngeni, Timu bado iko disjointed.
 
Top man im sure but he is so far out of his depth! Mount havertz and Ziyech starting is criminal. He needs to be changed and quick!
 
Mimi si Shabiki wa Chelsea .
Ila sidhani mechi ya jana, ni kipimo cha kumjua Enzo ni mchezaji wa namna gani.

Mechi ya Kwanza, Ligi mpya,Nchi ngeni, Timu bado iko disjointed.
Ongeza na line up mbovu
 
Nimeangalia mechi yenu mwanzo hadi mwisho. Ni kweli Enzo ni bora kuliko viungo waliopo Chelsea lakini duh, sio kwa mlivyokua mkimuongelea. Sasa Enzo ana tofauti gani na Kovacic, tena Kovacic ana uwezo wa ku drive-in na yuko invasive zaidi kuliko Enzo.. Sehemu kubwa aliyomzidi Kovacic ni kwenye passing na hiyo sishangai kwa sababu Enzo anakaa chini sana hivyo anakua hana presha kubwa tofauti na Kovacic ambae ana take risk zaidi.. lakini watu kwa kumpamba sasa!
Unaelezea wachezaj wenye majukum tofauti
Role ya kovacic ni kama ya McAllister aliyokuwa nayo Argentina.

Ili uone uwezo wa Enzo anahita kucheza na mtu mwenye quality sio umchezeshe na Galagher mchezaj ambae hana ufundi wowote mguuni ni kama una mlimit uwezo wale

Muweke Enzo na Caicedo kwenye double pivot ndio utajua hujui au Kovacic/Kante wa misim miwil iliyopita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom