Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Summer signing were not enough, tuliacha tatua maeneo ambayo yanashida

Player wengi walikiwa ni kwa ajili ya short term plan.

Game dhid ya leeds,southampton,dinaml zagreb zote hizi zilionesha mapungufu tena tukiwa tuko chini ya top coach.

Summer signing badala ya kutuimprove nikama zilitushusha
Problem is the coaching staff... hii hii team mpe Conte au Sarri uone
 
Chelsea tulidowngrade sana kumtoa tuchel na kwenda kwa potter.
Tungefaa twende kwa mtu mwenye uwezo sawa kama wa tuchel au zaid, Luis Enrique alikuwa ni best option kwetu au mwingine


Eddie Howe hakuhitaj 6 months ilinewcastle icheze vizuri, wachezaj walionekana wabaya walionekana wazur Joelinton alikuwa striker na alionekana hafai ila Ujio wa Eddie Howe pale newcastle akambadilisna akawa anamtumia kama LM. Na team ikaanza kuonekana patten yao ya uchezaj.

Ila ndugu yetu potter ana 5 months ila hakuna improvement yoyote inayoonekana.
 
Nimeangalia mechi yenu mwanzo hadi mwisho. Ni kweli Enzo ni bora kuliko viungo waliopo Chelsea lakini duh, sio kwa mlivyokua mkimuongelea. Sasa Enzo ana tofauti gani na Kovacic, tena Kovacic ana uwezo wa ku drive-in na yuko invasive zaidi kuliko Enzo.. Sehemu kubwa aliyomzidi Kovacic ni kwenye passing na hiyo sishangai kwa sababu Enzo anakaa chini sana hivyo anakua hana presha kubwa tofauti na Kovacic ambae ana take risk zaidi.. lakini watu kwa kumpamba sasa!
Shabiki Kilaza toka Arsepimbi, Kovasic ulimtathmini kwa mechi ngapi/muda gani na Enzo umemtathmini kwa mechi ngapi/muda gani aliouchezea Chelsea FC?

Kwanini usiitwe Shabiki kilaza ukiendelea kushabikia Arsepimbi kuliko kuteseka na Matajiri wa London?
 
Kuna post jana niliongea hicho kitu, Kocha hana falsafa ya uchezaji tena wenye kuwademand wachezaji washinde mechi. tunacheza show game tu. Umeongea point kubwa ndg. Japo kwenye upande wa pili hata kama hiyo pattern hakuna bado hao wachezaji hawajitumi. Mabeki wetu jana walicheza vizuri isipokuwa Cucurela inaonekana uwezo wake ndio umeishia hapo
Galagher bado sana, jana kwanza alikuwa anacheza out of position, pili hajijui alikuwaanafanya nini, kaba yake, press yake haina akili kabisa nk
Mount ukiondoa ile pasi aliyokosa Havertz sikuona faida yake zaidi
Mimi nisingependa tena ZIyech, Mount, Havertz, Cucu, na Galagher waanze. Nafasi zao zichukuliwe na Madueke for Ziyech, Felix for Mount, Fofana fo Havertz, Chillwell au Hall for Cucurella, Kova au Denis for Galagher. Tumemaliza
Tatizo litakalobakia sasa ni hilo la identity
Fulama jana utawaona tu japo hawakukaa na mpira sana lakini walipress kuhakikisha Chelsea hawachezi game lao na kuwalazimisha kufanya makosa, gholini waliweka ukuta wa Berlin
Chilwell na James wapewe muda wakianzia benchi maana bado hawajakaa vizuri sana katika ubora wao tangu warudi toka kuwa Majeruhi.
 
Nakuunga mkono bro kocha hana mbinu hata..
Team inacheza bila mipango kabisa hata formation huielew yani huyu coaher alikua overatted
Kocha hakuwa overrated bali ni mzuri sana ukiiangalia Brighton FC alipotoka nayo, kuisuka hadi kuihama na kuja Chelsea isipokuwa klabu kubwa kama Chelsea ina pressure kubwa sana tokana na fan base yake.

Kumbuka kwa asilimia kubwa sana Chelsea huwa tunatakaga matokeo chanya kwa haraka sana, tena laiti huyu HP angekuwa kwenye klabu kama Newcastle United FC usingesikia lolote hata kama wangemimina pesa ndefu katika usajili kuliko Chelsea FC.

HP apewe mechi 6 hivi zijazo ingawa kiukweli bado clear formation ya uchezaji mpira haujaeleweka huenda mbeleni atatufaa.
 
Nikikumbuka humu ndan kuna watu walikuwa wanampigia chapuo Potter nabaki naishiwa nguvu.

Tungeenda kwa Luis Enrique kwa project tuliyonao ni mtu sahihi.

Tunaweza kuwa na wachezaj wazuri ila wakakosa kocha, inanikumbusha wakat tuliokuwa na MaZaCa(Mata,Hazard,Oscar) kocha akawa Di mateo
Tuwe na subira, mi ni miongoni mwa Mashabiki wa Chelsea ambaye huwa nina mzuka sana wa kutaka team consistency achievement ya ushindi na makombe kwa haraka kwenye timu yetu hii ya Chelsea FC lakini nashindwa kuelewa kwanini bado nimekuwa mzito sana kum-critisize HP nikiamini uvumilivu huwa na tija.
 
Enzo Fernandez ni wakawaida Sana msijidanganye Kabisa hana tofaut na kina chukwuemeka
 
Mpeni muda Potter.

Kocha amekuja amekuta Wachezaji 5 ni wapya hawana hata miezi miwili.
Na kakuta mchezaji anaestahili kuwa kikosi cha Kwanza ni Tiago pekee, labda na Kipa.

Hajakaa sawa mmeongeza wachezaji 7 kikosini (January.)

Mpeni muda, awajue vizuri wachezaji wake, wachezaji wajuane.

Ideally, apewe msimu huu+ Preseason, muone itakuwaje.
Kumfukuza labda hali iwe mbaya beyond repair.
Kweli kabisa, maana Kocha mwingine akija atakuwa na slogans, formation, tactics, techniques zake mpya ambazo zitahitaji muda mwingi kumvumilia mpaka timu iwe na chemistry nzuri na winning mentality kwa Wachezaji ataopendezwa nao.

Tutaanza kutafutana humu kwa muda tena hadi wengine tuache kufatilia kabisa mechi za Chelsea FC maana tunazidiana vifua katika uvumilivu.

Shida kubwa kwetu sisi mashabiki wa Chelsea tulishakariri na kuathirika kisaikolojia kuwa tukishatumia pesa nyingi katika usajili wa Wachezaji wazuri basi lazima tupate makombe ya haraka haraka bila ya kujua nyakati huwa hazitabiriki.
 
Nimekaa hapa namcheki mwanangu wa faida, chezaji la Paundi milioni 60 kuku kama kuku
JamiiForums405573959.jpg
 
Kwahiyo tuseme Chelshit furaha mnatoa wapi siku hizi? Kila siku vipigo mkijitahidi droo, mlikuwa mnategemea zifungwe timu nyingine ndiyo mpate ahueni.
Duniani ni sehemu ya kujichagulia unachokipenda ilimradi kisikuzidi akili ukatawaliwa nacho kikakutesa hadi ukafa kizembe sawa na Mashabiki maandazi wa Arsepimbi wanaoongoza kufa kila siku

Mbali na football, nina burudani zingine zaidi ya 9.

Amka, stuka mapema na chukua hatua haraka iwezekanavyo Chifu
 
Tuwe na subira, mi ni miongoni mwa Mashabiki wa Chelsea ambaye huwa nina mzuka sana wa kutaka team consistency achievement ya ushindi na makombe kwa timu yetu hii ya Chelsea FC lakini nashindwa kuelewa kwanini bado nimekuwa mzito sana kum-critisize HP nikiamini uvumilivu huwa na tija.
Mkuu napenda sana kuona consistency kinachonifanya ni doubt hatujaimprove sehem yoyote ile.

Niko radhi nione tunafungwa ila atleast ionekane kuna kitu anakiandaa. Tho change doesn't happen overnight

5 months now stil hatuna hata pattern ya kiuchezaj.
 
Sorry Graham, I keep trying to get mentally prepared to just get behind you and back you regardless but then I watch a display like that, and I just come to the same conclusion, your just not capable.
 
Please Leave my club and never come back, worst coach since Scolari or AVB but at least they had won something beforehand. Nice guy potter has no clue. If he by some miracle of board stubborness does not get fired, he should resign in at the end of the season. Reminds me of William h. Macy character from Boogie Nights, where his wife gets boned in front of him several times and he just walks away dismayed and sunken. Seems like a dude who, when he is giving the team talk, the players just turn their heads and talk amongst them selves, drowning him out. " Erh - sorry lads? Lads? eh okay lets pick this up later okay. good tak, thanks"
Show less
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom