Japo kwa maoni yangu naona kocha ana uwezo mdogo, Nisingependa nimuhukumu kocha moja kwa moja, namuacha atafute 1st eleven yake. Ndio kwanza wechezaji waliowengi ni wageni tumpe angalau game tano jamani.
NB. Alinifurahisha kutompanga Chalobah. Sasa game ijayo anifurahishe Havertz ale mbao.
NB. Alinifurahisha kutompanga Chalobah. Sasa game ijayo anifurahishe Havertz ale mbao.