Nmekuja apa kuwatukana nyie Chelshit
Matackle yenu
jamaa kamponda sana MountAs long as Mount on the pitch, he was going to ruin the left side with constant drifting there like a winger. Mount ruined Mudryks game, left Enzo exposed, become a pedstrian, and forced Chelsea to play with makeshift double pivit with Enzo and Gallagher. Was Mount on the Pitch in the seconf half, what good did he do. He forced leftwingers to come deep constantly because he really cant play anywhere. Thr guy is a joke by now, surely you fanboys see that allready. 19 horrible games is not a hitch or poor form. IT IS SHITTY ABILITY. One pundit said that he could not make a single pass to wingers because he cant see that there is opposition in between him and the winger, but still he made those passes and Chelsea lost the ball. He should have the ability to lift those ball over players so that wingers get some service. By the way Mudryk was invaded all game on his left flank by Mount and Mount refused to make simple and obvious passes to Mudryk. That happened in the Liverpool game as well and Mudryk got service when Mount left thw field. Mount is either intentionally or unintentionally sabotasing the games now, why, what is wrong with this fan boy wonder footballer, or maybe he is just like Joe Cole, shines bright for a second to soon after just vanish completely.
Mkuu naunga mkono hoja haswa ya uwezo wa kocha maana kaja na cheap notion kwamba anatengeneza timu kama kichaka alichokuwa anajifichia Lampard those days na mimi mwanzo nilikuwa naunga mkono.ni kweli kizuri kinahitaji muda sasa baada ya miezi 4 najaribu kuitafuta philosophy na pattern ya uchezaji ya mwalimu siioni yaani kocha gani hana identity ya uchezaji kwa mantiki hiyo huwezi kuwa na guts za kusema kwamba wachezaji fulani hawafai completely maana wanakosa muunganiko wa mawazo ya kiuchezaji. Kwa case ya Mount naona ni kama inayomkuta Trend Arnold ni wachezaji wazuri ila wametumika sana kwenye umri mdogo na haswa kwenye matumizi ya nguvu hiyo wanafatigue ya mwili na akili wanafaa tu kuwa na playing time ndogo kwa muda. Kingine, why timu haina madhara kabisa kwenye set pieces kona zinapigwa kama mpira wa shule ulioangukia barabarani alafu mpita njia anaupiga urudi uwanj
Enzo Fernandez is the first Chelsea midfielder in a single game this season make 5+ ball recoveries (10), tackles (6), total duels won (9) and successful long balls (6) for Chelsea in the Premier League. Only needed 90 mins.Mimi si Shabiki wa Chelsea .
Ila sidhani mechi ya jana, ni kipimo cha kumjua Enzo ni mchezaji wa namna gani.
Mechi ya Kwanza, Ligi mpya,Nchi ngeni, Timu bado iko disjointed.
Huwezi kufananisha NU na Chelsea, pressure ya kupata matokeo NU ni ndogo sana. Hawana ratiba ya ziada ya michuano ya ulaya.Kama tatizo ni Kocha Mwingereza mbona huyu wa Newcastle ana timu tu ya kawaida na sasa ni title contender mbele ya Man city na mkocha wengine wazoefu
Edward John Frank Howe
Enzo Fernandez is the first Chelsea midfielder in a single game this season make 5+ ball recoveries (10), tackles (6), total duels won (9) and successful long balls (6) for Chelsea in the Premier League. Only needed 90 mins.Nimeangalia mechi yenu mwanzo hadi mwisho. Ni kweli Enzo ni bora kuliko viungo waliopo Chelsea lakini duh, sio kwa mlivyokua mkimuongelea. Sasa Enzo ana tofauti gani na Kovacic, tena Kovacic ana uwezo wa ku drive-in na yuko invasive zaidi kuliko Enzo.. Sehemu kubwa aliyomzidi Kovacic ni kwenye passing na hiyo sishangai kwa sababu Enzo anakaa chini sana hivyo anakua hana presha kubwa tofauti na Kovacic ambae ana take risk zaidi.. lakini watu kwa kumpamba sasa!😂😂
Hawa ondoa , Gallagher, Cucu,Oscar alikuwa anakaza kuliko huyu Havertz, pia Oscar alikuwa mwepesi sana na maamuzi ya akili usimfananishe kabisa na Havertz.
Madueke, Enzo, Fofana, Gallagher, Cucu, Badishiele na Fofana walicheza vizuri sana.
Enzo hatujapigwa akiendelea kucheza vizuri kama jana.
Wepesi wa mashambulizi bado hatujawa fiti sana maana kuna nafasi za kaunta ataki zingeweza kutupa mafanikio jana hata kwa goli 2 lakini ndiyo hivyo tena.
Kona hatujafaulu kabisa katika kutengeneza mashambulizi hatari.
HP alifanya subs nzuri isipokuwa ana ujinga wa kukumbatia matatizo (Havertz na Mount).
Mechi ya jana ilipaswa Chelsea ishinde ili kuwajengea wachezaji kujiamini kwa mechi zijazo.
End product poor hata Cucu ukimwangalia kwa haraka jana alijitoa na kuna baadhi ya tackles na aeria duel alizifanya vizuri ila sio beki wa std ya Chelsea, end product yake ukilinganisha na Chilwell kamuacha mbali sana. Galagher kwa nafasi ile aliyocheza jana hakuitendea kazi. Kwanza hakuonyesha ushirikiano mzuri na Enzo pili clinicallity yake kwenye kudisposes, recovering, tackles na passing sio nzuri kabisa ukilinganisha na akina KovaGallagher jana alipambana sana mi namtetea kwakweli yani kila sehemu alikuwa akikaba na ku-press mipira kwa kasi sana kama ile nafasi aliyoichopu kwenda kwa Fofana.