Mimi naona huyu Enzo ni wa kawaida na hata hatuma haja nae kwa bei io, je akija kuflop? Yule ata sio mkata umeme kivilee ata uuyu Gallagher akipata play time inaezekana akawa moto zaid yake mimi naona wanampaisha tu pale amna mchezaji wa 100m. Yule halali yake ni 50m ila dunia ya soka sa iv is so crazy.. wachezaji wengi wanakua over price.. iv kweli yule dogo ni wa kuwa MVP wa EPL? Tatizo scaut yetu inafuata majina... Waende na wao huko South America waokote mbrazili aliekomaa au la sivyo wamchukue huyu waliemnunua Santos.. Huyu Caecido nae ni wa kawaida sana ni mcheza wa 25m tusisahau tulikua na Makelele, Ramirez, Essien, Kante na hatukuwahi kuwasajili kwa hizi mbwembwe