Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Taarifa kutoka Lisbon zinasema kuwa sio kwamba Benefica wamekataa dau letu kwa Enzo ila naona wanataka kukaza tu ili turekebisha fee structure. Kama alivyocoment mwenzetu mmoja hapo nyuma Rui Costa anapambania Chelsea itoe Upfron payment kubwa zaidi ya iliyoahidi. Benefica sio wajinga waache pesa yote hiyo wakati wao walimnunua hata haikufika mil 7 kwa miezi 6 aliyokaa hapo Benefica. Faida ya Mil 124 ndani ya miezi sita tu ni mjinga atakayekataa
1675172713350.png
 
Taarifa kutoka Lisbon zinasema kuwa sio kwamba Benefica wamekataa dau letu kwa Enzo ila naona wanataka kukaza tu ili turekebisha fee structure. Kama alivyocoment mwenzetu mmoja hapo nyuma Rui Costa anapambania Chelsea itoe Upfron payment kubwa zaidi ya iliyoahidi. Benefica sio wajinga waache pesa yote hiyo wakati wao walimnunua hata haikufika mil 7 kwa miezi 6 aliyokaa hapo Benefica. Faida ya Mil 124 ndani ya miezi sita tu ni mjinga atakayekataa
View attachment 2501431
Hiii ishakuwa ngumu mzee
 
Mimi naona huyu Enzo ni wa kawaida na hata hatuma haja nae kwa bei io, je akija kuflop? Yule ata sio mkata umeme kivilee ata uuyu Gallagher akipata play time inaezekana akawa moto zaid yake mimi naona wanampaisha tu pale amna mchezaji wa 100m. Yule halali yake ni 50m ila dunia ya soka sa iv is so crazy.. wachezaji wengi wanakua over price.. iv kweli yule dogo ni wa kuwa MVP wa EPL? Tatizo scaut yetu inafuata majina... Waende na wao huko South America waokote mbrazili aliekomaa au la sivyo wamchukue huyu waliemnunua Santos.. Huyu Caecido nae ni wa kawaida sana ni mcheza wa 25m tusisahau tulikua na Makelele, Ramirez, Essien, Kante na hatukuwahi kuwasajili kwa hizi mbwembwe
 
Mimi naona huyu Enzo ni wa kawaida na hata hatuma haja nae kwa bei io, je akija kuflop? Yule ata sio mkata umeme kivilee ata uuyu Gallagher akipata play time inaezekana akawa moto zaid yake mimi naona wanampaisha tu pale amna mchezaji wa 100m. Yule halali yake ni 50m ila dunia ya soka sa iv is so crazy.. wachezaji wengi wanakua over price.. iv kweli yule dogo ni wa kuwa MVP wa EPL? Tatizo scaut yetu inafuata majina... Waende na wao huko South America waokote mbrazili aliekomaa au la sivyo wamchukue huyu waliemnunua Santos
Enzo sio mzuri kwenye defending kama alivyo mzuri kwenye offensive ila sio wa kumfananisha na Galagher. Galagher ni mzuri kwa baadaye ila Enzo ana maonjo tofauti
Unajua Fabregas alikuwa ni mchezaji tu wa kawaida, hakuwa mzuri kwenye kukaba, hakuwa powerfull hata kidogo, lakini zile through passes, long balls na assists zilitosha kumfanya mfalme wa midfield hadi leo hakuna wa kumfananisha
 
Kwa sasa wanachokubaliana ni kupunguza idadi ya intalments na kuongeza upfront payment
May be itakuja kuafikiana Eur 80M upfront halafu zilizobaki katika miaka minne au mitatu
Mzee Lembu mimi naomba washindwane kabisaaa iv huyu coacher hana plan zake apoint wachezaji wa kawaida kama Pep? Hutamsikia akisajili ila akishasajili ndo utamtambua
 
Huyu je
Marcel Sabitzer
CM ameunganishwa na Chelsea na Man U kwenye deadline day

Man U wanamtaka kwa udi na uvumba kumpreplace Christian Eriksen
Sisi nasi tunamtaka kwa udi na uvumba kumpreplace Jorginho, Haya sasa
Manure VS Chelsea
Moto VS Maji

View attachment 2501423
Chelsea na Man U wamesha submit offer Bayern Munich leo hii kwa huyo jamaa wa miaka 28
 
Enzo sio mzuri kwenye defending kama alivyo mzuri kwenye offensive ila sio wa kumfananisha na Galagher. Galagher ni mzuri kwa baadaye ila Enzo ana maonjo tofauti
Unajua Fabregas alikuwa ni mchezaji tu wa kawaida, hakuwa mzuri kwenye kukaba, hakuwa p[owerfull hata kidogo, lakini zile throgh passes, long balls na assists zilitosha kumfanya mfalme wa midfield hadi leo hakuna wa kumfananisha
Itakuaje akiflop Bro? Hawa wachezaji sometimes ni kamari haswa kwenye huu umri unamkumbuka Saul Niguez? Ifike kipind hawa watu wajue hawatuuzii Messi au Ronaldo au Zidane...
 
Ukisha weka hiyo flop hutakaa uingie sokoni mkuu
Lukaku kaflop wa Mil 97 na maisha yanaendelea
Daah yani bora tungekomaa na Haaland mkuu... ila mimi ninavyoona bora ubet na vichezaji vya kawaida kuliko hawa wa price tag
 
Sasa chief ujue kwamba hatuwezi kulipa yote kwa sababu ya FFP.

Lazima iwe installments kukwepa hilo rungu.

Kwa mazingira hayo tunafanyaje?

Solution hapo ni mbili:-

1. Rui Costa akubali aina hiyo ya malipo(mafungu)

2. Kuachana na Enzo kwenda kusajili mchezaji mwingine kwa mfumo ambao tutakwepa rungu la FFP.

Inaweza ikawa installement ila ikapungua badala ya awamu 6 kama tunavyotaka tukakubaliana iwe chini ya hapo.


Changamoto iliyopo ni awamu tutakazo lipa na malipo ya kwanza hapo ndipo Rui Costa anapokataa,
According to Ben Jacob kuna kikao kingine kinafinya mida hii tusubir majib yatakayotoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom