unaweza fungiwa hadi misimu 3 kushiriki michuano inayoandaliwa na UEFA kwa kubreach FFPFFP inatulimit sasa au tuivunje tupewe tu adhabu
Waiting here we go for fab
Sidhan maana tumefika had £75mCaisedo walitaka mil 80 cash
Mlitakiwa mtoe Mil 80 cashSidhan maana tumefika had £75m
Taarifa za SkySports zinadai kuwa Enzo atafanyiwa Medical 🙄🙄
Waiting here we go for fab
[emoji2786]| @JacobsBen:Mlitakiwa mtoe Mil 80 cash
Pesa inageuza kila kitu bana[emoji2786]| @JacobsBen:
“Those close to Moises Caicedo believe Brighton (as per their stance) won't accept any offer this late in the window.” #afc
Huyo kachagua Man U, aende huko anamtaka Ten HagChelsea tunaendelea tu kusumbua ulimwengu kwa kufuru za usajili.
Kimombo tuwaachie Arse8 ambao wanatamba na harakati za kunyanyua ubingwa wa EPL 2022 - 2023.
Liverkuku Fans ni mwendo wa kisandawe kuchambua karanga badala ya kuchambua mpira kwa kimombo chao kileeee.
Kweli kutesa kwa zamu na kila kitabu na zama zake View attachment 2501659View attachment 2501660View attachment 2501661
KweliBoehly mjanja sana
Sasa kampuni italipa hiyo RC ya Enzo halafu Chelsea itawalipa kwa hizo instalments ambazo Rui Costa amekataa
DEAL DONE
Let's waitTunasubiri confirmation ya hii habari kwa mgwiji wa taarifa za michezo akina Fabrizio Romano na wenzake