Jay El
JF-Expert Member
- Oct 13, 2020
- 459
- 734
Imekuaje Chairman?Hawa jamaa tutawakumbuka sana
View attachment 2501543
Imekuaje Chairman?Hawa jamaa tutawakumbuka sana
View attachment 2501543
Hata lisipokufa, wametuumiza vichwa sanaKwani deal limekufa?
Naona dili la Enzo, Rui Costa anawakazia SanaKila kitu inatakiwa iishe saa 8 usuku wa leo
Caisedo walitaka mil 80 cashNaona dili la Enzo, Rui Costa anawakazia Sana
Nataka nione mkienda kwa Caicedo mtaambiwaje
Sisi tumeachana nalo pia kulinda mahusihano mazuri na wao,
Wanasema HAUZWI , wanataka kucheza michuano ya ulaya
Kabisa yaniKuna jamaa kasema huko umekuwa dirisha zuri sana kwa Chelsea ila kama tutaweza kumpata Enzo, litakuwa Dirisha zuri la kihistoria kwa Chelsea na mashabiki wote wa Chelsea
Tupewa adhabu tutasumbuka sana mbeleni ukoFFP inatulimit sasa au tuivunje tupewe tu adhabu
Ingekuwa enzi za roman isingefika hukuHao ndio sasa wamebaki wanapambana na Rui Costa, wengine wamechoka hata wa kule Benefica
View attachment 2501593