K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 4,165
- 13,429
Saa tisa kasoro moja usiku huuDirisha linafungwa muda gani?
Saa tisa kasoro moja usiku huuDirisha linafungwa muda gani?
Asante mkuuSaa tisa kasoro moja usiku huu
Despite still hatuna excuse kwenye kufanya vizuri, kwenye hili dirisha mambo makubwa sana yamefanyikaHata hiyo ya kampuni kulipa RC ni taarifa feki
Ukweli ni kwamba Chelsea na Benefica bado wanajadiliana kuhusu fee structure hadi sasa
Unaota amkaChelsea tunashukuru kwa Jorginho, binafsi nimefurahi , japo anapigwa mawe kila upande
Naamini atawafunga watu mdomoView attachment 2501960
Wewe umefufukia wapi, saa nane usiku ndio mwishoMuda umeisha wewe, hakuna deal hapo
Saa nane au tisa itategemea na timezone ila sio chini ya nane usikuDirisha linafungwa muda gani?
Agent wetu huyo, na hakuna agent wetu hata mmoja aliyetuangushaChelsea tunashukuru kwa Jorginho, binafsi nimefurahi , japo anapigwa mawe kila upande
Naamini atawafunga watu mdomoView attachment 2501960
LabdaHao Chelsea Dodgers nao ni reliable anaweza asiwafikie akina Fabrizio, Matlaw na Ornstein lakini nao wao taarifa zao hawakurupuki. It DEAL DONE
KabisaTatizo chelsea hawanaga Plan B, ndio mana mchezaji tunapgwa hela ndefu. Enzo hana thamani hiyo. Ni vile hatuna plan B.
Hata mimi sidhani kama huyo Enzo ni wa kununuliwa kwa 120 .hell no .Ni kwamba hatuna scout wa kufanya mapping ipasavyo + uhaba wa talents so hata wachezaji wa kawaida nao wanapaishwa na kuuzwa bei kubwa isiyo endana na uhalisiaMimi naona huyu Enzo ni wa kawaida na hata hatuma haja nae kwa bei io, je akija kuflop? Yule ata sio mkata umeme kivilee ata uuyu Gallagher akipata play time inaezekana akawa moto zaid yake mimi naona wanampaisha tu pale amna mchezaji wa 100m. Yule halali yake ni 50m ila dunia ya soka sa iv is so crazy.. wachezaji wengi wanakua over price.. iv kweli yule dogo ni wa kuwa MVP wa EPL? Tatizo scaut yetu inafuata majina... Waende na wao huko South America waokote mbrazili aliekomaa au la sivyo wamchukue huyu waliemnunua Santos.. Huyu Caecido nae ni wa kawaida sana ni mcheza wa 25m tusisahau tulikua na Makelele, Ramirez, Essien, Kante na hatukuwahi kuwasajili kwa hizi mbwembwe
mpira wa kisasa unatumia CM sio DM, Kante mwenye anacheza kote kote, Enzo kote kote, Jorginho sio DM ni CM. CM ni kiungo mwenye kukaba na kufanya offensive playMkimkosa Enzo ,DM atakuwa Nan na jojino mmeshauza
Sijui itakuajeMkimkosa Enzo ,DM atakuwa Nan na jojino mmeshauza