Abrahamovich alikuwa anaipenda Chelsea FC tena ilikuwa damuni mwake haswaa, usisahau ilifikia hatua Chelsea ilikuwa ikilinganishwa na Real Madrid na PSG kwa mbio za kuweka mpunga mnene wa kumsajili mchezaji yeyote kwa msimu wowote ule.
Kumbuka bado kuna Watu wanadai kuna nguvu yake nyuma ya pazia ambayo bado inatumika hadi hivi sasa katika mwendelezo wa uwekezaji wa Chelsea, yani "kimya kimya" kulingana na makubaliano yao ya siri kati yake R Abrahamovich na TB.
Huyo Mrusi katuheshimisha sana Mashabiki wa Chelsea FC duniani kote.