Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Inaweza ikawa installement ila ikapungua badala ya awamu 6 kama tunavyotaka tukakubaliana iwe chini ya hapo.

Changamoto iliyopo ni awamu tutakazo lipa na malipo ya kwanza hapo ndipo Rui Costa anapokataa,
According to Ben Jacob kuna kikao kingine kinafinya mida hii tusubir majib yatakayotoka
Hata kulipa yote inawezekana, Mkataba unaweza kuofset FFP conflict danger
 
Daah yani bora tungekomaa na Haaland mkuu... ila mimi ninavyoona bora ubet na vichezaji vya kawaida kuliko hawa wa price tag
Je akija ndio akaongezeka zaid mbona huko huwazi,
Kwenye business unatakiwa kujua hizi facts
  1. big project big risk
  2. High profits, high risk
Hao wachezaji wa kawaida tukuishia kwao tutaishia kuwa midtabloe team ya kuomba tu kubaki ligi kuu
Forget about trophies forget about honored leagues like UEFA
 
Mimi naona huyu Enzo ni wa kawaida na hata hatuma haja nae kwa bei io, je akija kuflop? Yule ata sio mkata umeme kivilee ata uuyu Gallagher akipata play time inaezekana akawa moto zaid yake mimi naona wanampaisha tu pale amna mchezaji wa 100m. Yule halali yake ni 50m ila dunia ya soka sa iv is so crazy.. wachezaji wengi wanakua over price.. iv kweli yule dogo ni wa kuwa MVP wa EPL? Tatizo scaut yetu inafuata majina... Waende na wao huko South America waokote mbrazili aliekomaa au la sivyo wamchukue huyu waliemnunua Santos.. Huyu Caecido nae ni wa kawaida sana ni mcheza wa 25m tusisahau tulikua na Makelele, Ramirez, Essien, Kante na hatukuwahi kuwasajili kwa hizi mbwembwe
Mkuu acha utani Galagher hata awe mzuri kiasi gani hawezi mzidi Enzo.
Galagher kapata playtime akiwa Palace na wote tumeona uwezo wake.

Galagher anaweza kuwa na work rate kubwa ila ufundi mguuni hana. Na hapo ndipo enzo anapowaacha mid wengi wa sasa,Uwezo wake kupiga pass either long ball au short pass, kuswitch play, kuvunja mistar ya ulinzi ya team pinzani, shooting etc,kuchukua mipira kutoka nyuma, etc

Kumcompare Galagher na Enzo nikama ni kumdisrespect Enzo.
 
Cheki mitizamo ya makocha inavyoweza kuadhiri performance na mafanikio ya timu

2013 Banitez alisema Tery ni mzee hataweza kucheza tena dk zote 90
2014 MOU alivyorudi darajani alimchezesha Teri dk zote 90 tukashinda kombe la ligi
1675174971540.png
 
Mkuu acha utani Galagher hata awe mzuri kiasi gani hawezi mzidi Enzo.
Galagher kapata playtime akiwa Palace na wote tumeona uwezo wake.

Galagher anaweza kuwa na work rate kubwa ila ufundi mguuni hana. Na hapo ndipo enzo anapowaacha mid wengi wa sasa,Uwezo wake kupiga pass either long ball au short pass, kuswitch play, kuvunja mistar ya ulinzi ya team pinzani, shooting etc,kuchukua mipira kutoka nyuma, etc

Kumcompare Galagher na Enzo nikama ni kumdisrespect Enzo.
Nilimpa mfano wa Fab, alikuwa naye wa kawiada tu lakini ufundi wake kwenye kupassi ndio ilimtoa
 
Itakuaje akiflop Bro? Hawa wachezaji sometimes ni kamari haswa kwenye huu umri unamkumbuka Saul Niguez? Ifike kipind hawa watu wajue hawatuuzii Messi au Ronaldo au Zidane...
Sababu za kuflop mchezaj ni nyingi sana, mifumo ikiwa imara na ya mchezaj ni ngumu sana mchezaj kuflop.

Tulisajili Werner,Ziyech,Havertz,Lukaku tukihisi tumetatua shida ila kilichotokea kila mtu anajua.

Mfumo wa team ndio unaamua.
 
Mkuu acha utani Galagher hata awe mzuri kiasi gani hawezi mzidi Enzo.
Galagher kapata playtime akiwa Palace na wote tumeona uwezo wake.

Galagher anaweza kuwa na work rate kubwa ila ufundi mguuni hana. Na hapo ndipo enzo anapowaacha mid wengi wa sasa,Uwezo wake kupiga pass either long ball au short pass, kuswitch play, kuvunja mistar ya ulinzi ya team pinzani, shooting etc,kuchukua mipira kutoka nyuma, etc

Kumcompare Galagher na Enzo nikama ni kumdisrespect Enzo.
Nimekuelewa mkuu
 
Sijwahi kuona mtu anayemkataa Enzo kwa mashabiki wa Chelsea au wa timu pinzani, niliwahi tu kukutana na shabiki mmoja anayesema ENzo ni mzuri sana ila pesa ni kubwa mno Waliobaki labda sio chini ya 90% wanataka hata RC yote ilipwe il jamaa aje darajani
 
Sijamkataa Lembu ila nalalamikia price tag
 
Katika maisha mtu hapa dunani anahitaji lishe ya aina tatu tu ili mambo yake yaende vizuri
  1. Lishe ya kiroho - neno la Mungu
  2. Lishe ya mwili - Chakula bora
  3. Lishe ya nafsi na hisia zake - burudani
Sasa sis mashabiki wote hapa tunang'ang'ana na hiyo lishe ya Nafsi, timu ikiwa vizuri hiyo mnafsi inapata afya bora
 
Daima nasemaga strategic back pass, kila mchezaji anafanya hiyo, it is also a defensive mechanism. Jorginho atazipiga hizo hadi muanze kumchukia. Tena unajua Arteta na PEP wana style tofauti, style ya PEP inahitaji back passes nyingi wakati Arteta ni direct football, hapa lazima Jorginho awe na few strategic back passes, sehemu kubwa ni through passes to break lines au long balls
Arteta anatumia formula ya man city ya 2017, Kama unaingalia Arsenal inavyocheza Ni copy ya city,ila Ni ile ya 2017,

Wote wanatumia Single Pivot , na ndio maana walimtaka Jorginho ,

Hata Partey Arsenal anacheza single pivot ana cover eneo kubwa , kwa Jorginho Sijui Kama anaweza kucheza Single , ila ataweza, Elneny tumemtumia hivo na aliweza, lokonga Ndiye kashindwa

Register anayepokea mipira kutoka back 4 Arteta na Pep wanapenda awe press resistant na uwezo wa kutopoteza pass , na awe vzr Ground Duel na Aerial Duel

Maana Arteta na yeye anacheza na Double 8/10 Kama Pep
 
Kwenye uhalisia play style yao ni tofauti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom